Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 455
- 765
Habari wana-Jf
Naomba kufahamu hili tatizo Ni Mimi tu muhanga au Wenzangu pia?
Kuna mtu nataka kumfanyia "application" Nacte amemaliza kidato Cha nne mwakajana Sasa kila nikiingia Nacte napata ugumu Sana jinsi ya ku apply,
Wametoa guidebook vizuri shida IPO kwenye how to apply, ukingia apply online mtandao una-load na kufeli
Naomba msaada wenu wakuu Kama Kuna mtu amefanikiwa, anisaidie kafanikiwaje!!
Asanteni Sana,