Ni sawa lakini tuangalie madhara kuliko faida kwenye hili...hivi kweli tujenge immune kwa kuharibu kucha zetu? Hili ni tatizo kubwa kuliko hilo na kuwa na kinga ya magonjwa BufaKwenye hili la kucha nakubaliana nao kabisa. Nawajua watu kadhaa wa karibu walaji kucha waliobobea kitu kimoja kuhusu hawa jamaa huwa hawaumwi na kila kitu wao wanakula tu. Kama umesoma article inasema ulaji kucha kwa watoto ina maana watakula na uchafu na hatimaye mwili wao kujenga immunity ili kupambana na magojwa hivyo immunity zao kuwa strong zaidi. Nadhani ni very reasonable
hiyo picha ungeweka ya mtu mweusi ujumbe wako usingefika?View attachment 387667
Hiki kitu kina waathirika wengi sana wake kwa waume wakubwa kwa wadogo. Tunaweza kudhani tu kuwa ni tabia mbaya au mazoea! La hasha kutafuna kucha za vidole vya mikononi ni tatizo la kisaikolojia linalomla mtu ndani kwa ndani kwenye ufahamu wake ambapo hupelekea viashiria hivi:-
-woga
-mawazo/msongo wa mawazo
-kutojiamini
-fadhaa/sononi
-kukosa la kufanya
-taharuki
-mapepe/restless mind
-hulka ya kuiga
Hivyo ni viashiria vikuu vya mtafuna kucha na hili jambo hufanya bila kupenda ni involuntary action. Kuna baadhi hufanya wakiwa pekeyao kwenye upweke na wengine hufanya pindi anapokutana na mtu kwa mara ya kwanza ama hadhira.
View attachment 387681
Kwakuwa hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi basi hata tiba yake ni ya kisaikolojia, hasa hasa
-councelling/ushauri nasaha
-kumjengea uwezo wa kujiamini mwathirika
-kutafiti kupitia yeye mwenyewe chanzo cha tatizo lake hilo na muda
Wengine hukutana na hii hali katika hatua fulani ya makuzi na ikipita tatizo hujitibu lenyewe!
Je una tatizo kama hili ama ndugu yako? Ama rafiki? Usikimbilie kwa mganga wa kienyeji utaambiwa una jini njaa..! Tiba unayo mwenye
Huwezi kuwa unanizidi mimi.....tena mimi za miguuni zina hali mbaya kuliko za mikononi...Duh mimi ni mhanga mkubwa sana wa kula kucha hata za miguuni nakula
Nazungumzia tatizo sizungumzii rangi nimeweka picha zilizopatikana sikujali rangi kwakuwa sio kipaumbele kwanguhiyo picha ungeweka ya mtu mweusi ujumbe wako usingefika?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Huwezi kuwa unanizidi mimi.....tena mimi za miguuni zina hali mbaya kuliko za mikononi...
Nazungumzia tatizo sizungumzii rangi nimeweka picha zilizopatikana sikujali rangi kwakuwa sio kipaumbele kwangu
So what is your argument here..I have spared few minutes for youthe battle always is the battle of the mind,if your mind is conqured then you are going nowhere!
Ntaacha mama, maana kuna muda mpaka zinatoa damu najitahidigi kuzifuga ila nikiwa na stress zangu najikuta nazila zoteAcheni kula kucha, vidole vinakua kama tangawizi...
Duh poleNtaacha mama, maana kuna muda mpaka zinatoa damu najitahidigi kuzifuga ila nikiwa na stress zangu najikuta nazila zote
Jaribu hizo tiba mbalimbali nimeona na aloe Vera kumbe pia ni dawaNtaacha mama, maana kuna muda mpaka zinatoa damu najitahidigi kuzifuga ila nikiwa na stress zangu najikuta nazila zote
Kuna uhusiano mkubwa na ubongo wako wa kushoto ndio maana unatafuna vya kuliaYani mimi ni muathirika lkn nashangaa mkono wa kushoto sitafuni ila wa kulia natafuna
Sasa mkuu iyo dawa itanitibu kisaikolojia? Maana nikiwa na stress au mtu akiniudhii huwa sipendi kuongea nakata tu kucha zangu na si wakati woteJaribu hizo tiba mbalimbali nimeona na aloe Vera kumbe pia ni dawa
Hapana hizi ni kwa ajili ya Ladha ishu ya kisaikolojia ukipenda ni mpaka tuonaneSasa mkuu iyo dawa itanitibu kisaikolojia? Maana nikiwa na stress au mtu akiniudhii huwa sipendi kuongea nakata tu kucha zangu na si wakati wote
Hiyo ni stage mbaya kabisa sasaDuuu wakimaliza za mikono watahamia na za miguuni