Jaribu kufanya hilo, lakini naye ajiandae maana wengine anaweza kuwa anatafuna big g na kucha ipo mdomoni.Duh! Nitajaribu kufanya hivyo akija likizo, akirudi kutoka shule ndio utazionea hadi huruma, kucha mbaya
ram cha muhimu sana kwasasa ni kujitahidi aache hiyo tabia, kucha ni kitu kinachoota kwahiyo with time zitaota tena Usiwe na shakaBinti yangu alikuwa na kuchagua nzuri sana, zimeharibika sababu ya kuziuma, nilishaongea hadi nimechoka. Je akifanikiwa kuacha kuzing'ata zitarudi kuwa nzuri?
Pole Sana hili ni tatizo la kizalia kama ilivyo pumu nk...uwe unazipaka vitu vyenye harufu usiyopenda kabisa kuisikia baadae mdomo/meno yata adopt na kuacha kabisa..Yaani mimi nimeona huu uzi nimefurahi sana,nakula kucha mpaka najisikia vibaya mimi mwenyewe!Kwetu tumezaliwa watatu na wote tunakula kucha ile mbaya na nakumbuka pia kumwona baba yangu akila kucha sasa huwa na waza tuliiga au tuliridhi kutoka kwake.Kuna saa huwa ni tamu mpaka nakimbia kukaa mahali peke yangu mtu asinione halafu nakula kwa raha zangu na enjoy sana.Nikiwa mja mzito nakula mpaka natoka damu.Jamani hii kitu nikiweza kuacha nitafurahi sana yaani mpaka kucha zimepinda na kuwa nyeusi.Mume wangu amepambana na mimi mpaka amesanyoosha mikono.Mshana jr asante sana kwa hili somo nitaanza sasa kuacha na nitawapa mrejesho kabla na baada!
Hata pilipili ni tibaKuna mtu aliniambia nitumie Big G zisikatike mdomoni na nilifanikiwa kwa kiwango fulani ndani ya miezi 2 nikasahau kuhusu kula kucha.
Mshana jr, vipi unatoa tiba mkuu, kuna dogo langu yani huwa nampiga mingumi ila hasikii, huyu ni mgonjwa type gani chronic ama?[/QUOTE pole mpeleke kwa wanasaikolojia au mpeleke kwa chris mauki atamsaidia kuondokana na tatizo hilo
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Duh mimi ni mhanga mkubwa sana wa kula kucha hata za miguuni nakula
Hiyo ishakuwa chronicToka darasa la kwanza nang'ata kucha huwa najitahidi kuacha ila nashindwa
Hicho ni kizaliaMchumba wangu hili ni tatizo kubwa linamsumbua...ila yeye haoni.. anatafuna kucha sana za mikono. na hana msongo wala wasiwasi wowote..ni miaka tokea mdogo.. na ananyonya nyonya saa kidogo kikubwa cha mkono wa kulia hadi kimekonda kabisaa..
Hizi tafiti nyingine za wazungu hizi kuna wakati huwa nadhani wanafanya makusudi kutuongopea ama la watakuwa wanaumwa ugonjwa wa akiliUchunguzi umebaini ulaji kucha/unyonyaji vidole una faida kwa watoto "Ripoti mpya inasema watoto wanaonyonya vidole au kung'ata kucha zao kwa meno huenda wasipate matatizo ya kuathirika kutokana na mazingira hewa au kula vyakula fulani" BBC. Kwa lugha nyingine sio rahisi wala kucha kupata allergies na hili linathibitika wengi ninaowajua wa namna hii huwa hawaumwi umwi na kila kitu wao wanakula tu
Unyonyaji kidole unafaida kwa watoto- Utafiti - BBC Swahili
Hicho ni kizalia
Du pole sana mkuu.mimi nimeathirika kweli kweli,mpaka leo,zikikuwa tu,uwa sina mpango wa kutafuta kiwembe,mwendo wa meno tu,kuna wakati nilikuwa nakula kucha,zikiwa fupi,nakula na ile ngozi ya ncha za kucha,kazi ilikuwa kwenye kula ugali wa moto,nilikuwa NAKOMA
Kwanza ni lazima akubali kubadilika ili muweze kushirikiana kutatua tatizo. ..awe anapaka/au unampaka vidoleni/kuchani vitu vyenye harufu asiyopendaDawa yake ni nn..? Sbb ananikera sana..makucha yameharibika.. na hadi sasa hv namfundisha kunyonya koni aache kunyonya kidole chake kikubwa.. nambana sana aache lakini wapi.. sasa nimeamua nimwekee kucha za bandia for a while labda ataacha.. of which kucha za bandia sizipendi.. sbb she is soooo cuteeee... whiteee... bootyfull.. but i hv no any other choice..