wilhard mboya
New Member
- Apr 11, 2017
- 3
- 5
Habarini ndugu na poleni na majukumu, mimi ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto mmoja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito, nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karibuni nimepoteza hamu kabisa ya kushiriki tendo kitendo kichoniumiza Sana, naombeni msaada wenu.