masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,837
- 15,001
Kama umechoka kusubiria umeme ulipo Dar , si ufuate hukohuko Mtwara ujifulie umeme wa kutosha wa gesi?Mkuu watanzania hatutaki porojo, tunataka umeme tuutumie kufanya uzalishaji tulipe kodi nchi iendelee. Hizi stori zenu za megawatt tumezichoka, mnaibia hata wagonjwa?
Mkuu wapi hiyo? Au Kigamboni??
Mkuu wapi hiyo? Au Kigamboni??
kwani wakati mnaipigia kura CCM hamkuyajua haya? HIyo ndiyo CCM ya Kikwete bwana na mikakati ya kuongeza umaskini wa kila mtanzania.
kiongozi, kuanzia kuanzia gongo la mboto hadi kisarawe hakuna umeme tangu siku ya Jumapili saa 4 asubuhi, hali ni ngumu sana, hakuna taarifa kutoka TANESCO, inakera kwa kweli.....
yaani kila kitu kimeharibika, unaamka asubuhi hujui unavaa nini....
at least si-regret kwa kutumia kura yangu kuwapa walafi na wasiojiweza kiuongozi. Kwahivi sasa nawashangaa hao waliokipa kura chama kinachotufanya watanzania kama mazezeta.sidhani ikiwa hata wewe ambae hukuipigia ccm kura, kwako unapata huduma zote ipasavyo......
Aisee,Wa Mkoani mkija Dar mnatabu kweli.
Yaani siku mbili tu unapiga kelele kama vile umeme ulizaliwa nao
mbwa! i think...Aisee,Wa Mkoani mkija Dar mnatabu kweli.
Yaani siku mbili tu unapiga kelele kama vile umeme ulizaliwa nao