Tatizo la ku-appeal mkopo naomba msaada

freddie boy

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
589
195
Habar zenu wakuu.

Nimejaribu kufanya process ya ku appeal mkopo lakini inashindikana kwa sababu kila nikiingiza codes nilizopewa baada ya kulipia mpesa napata ujumbe kua The transaction code does not exist..

Sasa sielewi kwanini.inakua hivi nimejaribu kuingiza mara nying tu.inagoma naomba kama kuna mtu alishswai kukutana na hili tatizo na akali.solve anipe msaada alifanyaje ?

Nitumie txt number yangu ni 0656879668.

Asanteni.
 

Hassan kijuu

Member
Jul 8, 2014
11
45
Habar zenu wakuu... nimejaribu kufanya process ya ku appeal mkopo lakini inashindikana kwa sababu kila nikiingiza codes nilizopewa baada ya kulipia mpesa napata ujumbe kua The transaction code does not exist.. sasa sielewi kwanini.inakua hivi nimejaribu kuingiza mara nying tu.inagoma naomba kama kuna mtu alishswai kukutana na hili tatizo na akali.solve anipe msaada alifanyaje????? nitumie txt number yangu ni 0656879668
Asanteni.
Mi pia inasema hivyo but sijui cha kufanya
 

1000 words

Senior Member
Dec 29, 2012
169
0
jaribu kuingiza codes kwa umakilni sababu wengi wanakosea mfano mtu anaona kwenye code ni 1 kumbe ni I. BI20WS348 mtu anaandika B120WS348
 

KAYMALI

Member
Oct 8, 2014
34
95
Hiyo mwenyewe nlikutana na hilo tatizo wakati nataka kujaza form ya kuappeal,nililipa hela mpesa ila nilijaribu ndani ya siku 3 ikawa inanambia hvo,ila badae ndo ikakubali.Kwa hyo unapolipa hela mpesa mpaka iingizwe kwenye list ya waliolipia ndo ukiingiza inakubali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom