Tatizo la headphone Jack ya simu yangu imezama

Tatizo la headphone Jack ya simu yangu imezama

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
855
Simu yangu Tecno Camon C9 headphone jack imezama au kukatika, ninapoweka earphone sauti haitoki au wakati fulani inatoka kwa kukatikakatika,je inatengenezeka na kama ndiyo fundi wa kutengeneza anapatikana Arusha na inagharimu Tsh ngapi?
PhotoGrid_1535829705061.jpg
 
Back
Top Bottom