Msaada wa tatizo hili kwenye simu yangu

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,448
2,289
Natumia simu ya Tecno phantom six plus ilia anguka ikapata mushkeli kidogo nikapeleka kwa fundi ikasetiwa fresh sasa kumbe kidude cha kuchomekea phone kimezngua nimefika home ndio nimejua iyo shida kile kitundu cha juu ya simu au chini earphone jack sjui kinaitwa nafikiri kina eleweka vipi wakuu hua vinabadilishwa ivi wakuu kwa kuwekwa kingne??? Au inakauaje? Chief-Mkwawa msada please
 
Ndio kinabadulishika, na most of times inakua ni rahisi tu. Pengine hata hiko ni kizima ila tu pin hazijakutana vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom