- Thread starter
- #21
tatizo linaweza kuwa jengine mimi naguess tu. ukienda ofisi zao ndio watakupa jibu sahihi maana wao wanakuwa na tools zenye uhakika.
Simu ikiwa slow ghafla na app hazirespond au kustack kwa muda mara nyingi ni tatizo la memory aka internal memory yako ambapo hizo apps zimehifadhiwa.
Ila kama ilikuwa inaanza taratibu kila siku simu inazidi kuwa slow huenda tu ikawa ni software issue ukireset ikakubali.
ahsante sana mkuu nimefanikisha nimefanya yote ulosema baada ya kufuta Apps zote ambazo sizitumii saivi kila napogusa haistuck tena na iko faster sana kama mwanzo nadhani memory ilizidiwa kutokana na vitu vingi.
Ahsante sana kwa mawazo yako mazuri.