Naomba msaada tatizo la WiFi kwenye Samsung galaxy s5

Naomba msaada tatizo la WiFi kwenye Samsung galaxy s5

CODE501

Senior Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
172
Reaction score
113
Wakuu, simu yangu(Samsung galaxy S5) inatatizo la kushindwa kuconnect wireless inaandika ''avoided poor internet connection'' mwenye ufaham na hili msaada tafadhari.
 
inawezekana ni tatizo la IP address...jaribu ku'modify IP address kwa kuingiza manually!!
 
Mm pia yng s2 nikitiwa video inakubali vizur lkn nikifuta mfano kwenye whatsapp unakuta ukienda kwenye galary sioni wkt mm cjafuta. Naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom