Naomba msaada tatizo la Samsung galaxy pocket ku stack

Naomba msaada tatizo la Samsung galaxy pocket ku stack

Mkwanga

Senior Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
146
Reaction score
20
Wadau naombeni msaada, nina simu yangu Samsung galaxy pocket inastaki then sehemu niliyo touch ina andika contact stop au sms stop nifanyaje na shida nini
 
Backup data zako
Fanya factory reset
Kisha install apps chache na muhimu tu

Pia waweza kuhamishia baadhi ya apps kwenye sd
Kama mtundu zaidi fanya rooting ufute baadhi ya apps ambaO hutumii

MAra nyingi hali hii hutokea kama simu imebebeshwa mZigo mkubwa wa apps na data
Au imeingiwa na virus
Au ni bugs tu
 
Back
Top Bottom