CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 4,768
- 8,004
Kumbe kuna maujinga mengi huko YangaTatizo amekataa upuuzi huyView attachment 2643165View attachment 2643166
Kumbe kuna maujinga mengi huko YangaTatizo amekataa upuuzi huyView attachment 2643165View attachment 2643166
Feisali amemtaja Hersi kama ndio kiini cha matatizo, hajataja member wa bodi yeyote kwa maana hakuna aliyehusikaNdiye mkuu ila kwa muundo wa club Hersi hafanyi maamuzi yy mwenyewe, lazima bodi iamue. Nyie kama club yenu Mangungu anafanya maamuzi ya kila kitu yy mwenyewe ni nyie Yanga ni tofauti kwani si mali ya mtu.
Duu wewe mpira hifuatili kabisaaa yaani huna unacho kijua.Kwani si hata kesi ya Morrison yanga walishinda TFF ila walipoenda CAS wakaangukia pua TFF si wanazibeba simba na yanga we unaamini watasema simba au yanga ina makosa wapo kwa maslahi yao binafsi tu.
Asante Mama FaizaFoxy na huu uzi ufungwe. Jibu ni hili na kuongezea tatizo lake kula ugali na sukari badala na chumvi.Tatizo lake ujinga.
Tulimlisha ugali na sukari na kumvalisha suti oversize..."Bora nisicheze mpira kuliko kuitumikia Yanga"
Nyie Gongowazi mlimfanya nini huyu dogo?
Kwani TFF wakati wakisikiliza kesi yake Hersi alikuwepo?Feisali amemtaja Hersi kama ndio kiini cha matatizo, hajataja member wa bodi yeyote kwa maana hakuna aliyehusika
Haiingii akilini hiyo. Lsbda wachezaji walikuwa wanapewa diet ya kuongeza nguvu mwilini kwa ujinga wake akaona ni ugali kwa sukari.Asante Mama FaizaFoxy na huu uzi ufungwe. Jibu ni hili na kuongezea tatizo lake kula ugali na sukari badala na chumvi.
Waliokuwepo walienda kwa ruhusa yakeKwani TFF wakati wakisikiliza kesi yake Hersi alikuwepo?
Kiini cha kesi yake ni kuto heshim mkataba mkataba alio ingia na si Hersi.Hersi yy ni msimamizi,yupo pale kama mwajiliwa wa Yanga.
Hersi hata kesho anaweza kuondoka ila atakaye kuja ataanza na mikataa ya wachezaji inasemaje na akiona Yanga ina haki kwa mchezaji fulani lazima atasimama kuhakikisha Yanga inapata haki yake.
Wale ni waajiliwa wa Yanga na si Hersi kwani hata Hersi ni mwajiliwa na lile swala la kisheria na Hersi sio mwanasheria.Waliokuwepo walienda kwa ruhusa yake
Alifanya kiashiria gani ambacho kilionesha haeshimu mkataba?
Kwasababu Yanga wao walitoa malalamiko wakisema Mkataba umevunjwa bila kufuata utaratibu
Au hiyo ya kutofuata utaratibu ndio umeitafsiri kama kutoheshimu mkataba?
Umenielewa nilipokukumbusha malalamiko ya Yanga kuhusu Feisali?Wale ni waajiliwa wa Yanga na si Hersi kwani hata Hersi ni mwajiliwa na lile swala la kisheria na Hersi sio mwanasheria.
Mkataba wake unamtaka awe kazini mpaka 2024 June,vp sasa hivi yupo kazini?
Yaah kila mikataba unataratibu zake na ndio maana mpaka sasa Yanga kishashinda mara tatu TFF.
Mchezaji hayupo kambini, mchezaji anazunguka kwenye vyombo vya habari kuwapopoa,mchezaji hawaheshimu.Wale ni waajiliwa wa Yanga na si Hersi kwani hata Hersi ni mwajiliwa na lile swala la kisheria na Hersi sio mwanasheria.
Mkataba wake unamtaka awe kazini mpaka 2024 June,vp sasa hivi yupo kazini?
Yaah kila mikataba unataratibu zake na ndio maana mpaka sasa Yanga kishashinda mara tatu TFF.
Malalamiko ya Fei unanikumbusha mimi ili iweje,wakati sehemu panapostahili TFF kishashindwa mara tatu,hata ukinikumbusha mimi sina maamuzi ya malalamiko yake.Umenielewa nilipokukumbusha malalamiko ya Yanga kuhusu Feisali?
Yanga alitoa malalamiko kuwa Feisali amevunja mkataba bila kufuata utaratibu
Sasa sheria za FIFA unazielewa?
Sisi tunachotaka ni kufuata utaratibu basi simple, hajazuiwa kuja kwenye meza ya mazungumzo.Mchezaji hayupo kambini, mchezaji anazunguka kwenye vyombo vya habari kuwapopoa,mchezaji hawaheshimu.
Hersi: Fei ni mchezaji mwenye nidhamu ila kuna mtu anamdanganya.
INAKUWA KAMA MNALILIA PENZI. ANAWAPA NINI HUYU MNASHINDWA KUMPA ADHABU NA KUMFUKUZA? AIBU GANI HIZI.
Hata kuelewa hujaelewa.Malalamiko ya Fei unanikumbusha mimi ili iweje,wakati sehemu panapostahili TFF kishashindwa mara tatu,hata ukinikumbusha mimi sina maamuzi ya malalamiko yake.
Mimi sio mwanasheria, ila TFF ni mwanachama wa FIFA anayesimamamia sheria za FIFA na hata hiyo kesi imeongozwa kwa mujibu wa sheria za FIFA so kama anaonewa,FIFA wameweka CAS aende ngazi nyingine ya juu CAS kudai haki yake.
Humu JF hayupo anayejua KUTAFSIRI SHERIA za FIFA maana kuijua sheria na kutafsiri sheria, kujua inatumika wapi na wakati gani ni vitu viwili tofauti.
umemalizaaa.Tatizo amekataa upuuzi huyView attachment 2643165View attachment 2643166
Fei: Nimekaa masaa 6 tukizungumza na Hersi.Sisi tunachotaka ni kufuata utaratibu basi simple, hajazuiwa kuja kwenye meza ya mazungumzo.
Halafu Yanga ni timu ambayo moja ya lengo lake ni kufanya biashara ya wachezaji so wachezaji sometimes wanakuwa kama bidhaa,so huwezi kumpangia mtu biashara yake aendeshe vipi.
Halafu sisi hatumg'ang'anii mtuu bali tunataka taratibu zifuate simple na hiyo room ya mazungumzo ipo kapewa ya mazungumzo.
Labda nyie kwenu Simba kama hamna utaratibu ni nyie,ila Yanga kuna sheria,miongozo na taratibu.
Brother hizo fani za watu jifunze kuziheshim na ndio maana pale law school wanaanza 800,wanao toboa 26,kama ingekuwa rahisi ufikiliavyo wangetoboa wote 800.Hata kuelewa hujaelewa.
Sijasema malalamiko ya Feisali, nimesema malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisali uliyaelewa?
Kwani sheria za FIFA zimeandikwa kwa codes kwamba kuwe na watu wachache tu kama kina Davinci ambao ndio wenye uwezo pekee wa ku decode?
wasipo elewa hapa, basi hawata elewa kamweee.Hersi: Nisamehe nilipokosea, Rudi kambini tunakuhitaji, Tutaboresha malsahi, m30 kwa mwezi.
Fei: Sawa nimekusamehe ila siwezi kufanya kazi na wewe tena, naomba niruhusu.
Hersi: Timu inayokutaka ije.
Fei: Hakuna timu inayonihitaji, niruhusu niondoke.
Hersi: Njoo malizia mkataba wako.
Fei: Nafsi yangu haitaki tena kufanya kazi na wewe, niruhusu niondoke.
Hersi: Basi nenda CAS.
Vyura: Fei msalitiii, anatumikaaa, Hatumuitaji, Yanga ni kubwa sana kuliko Fei, tutamnyooshaaa, sisi ndo Yangaaaa.
Kwani mkataba alisaini na nani?Fei: Nimekaa masaa 6 tukizungumza na Hersi.
Hersi: Kuna option tatu tu.
Moja rudi tuboreshe maslahi, rudi malizia mkataba wako, timu inayokutaka ije.
Fei anasema hana timu. Inamaana huo utaratibu anaotaka Fei aufate hauhusishi Fei kuondoka mwenyewe.