Tatizo la Feisal liko wapi?

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,100
12,485
Baada ya Feisal Salum kuzungumza leo kupitia clouds fm mambo mbali mbali aliyopitia yanga na maisha yake ya soka kwa ujumla ila bado kuna vitu vinafikirisha sana kwa yale aliyoyasema dhidi ya yanga tupate tafakuri kidogo ya mambo hayo:‐

Feisal alikuwa mchezaji wa Yanga toka kipindi wanapitisha bakuli iweje ghafla tu kijana alazimishe kuvunja mkataba tena kipindi cha neema.

Mudathir Yahya na sureboy waliomba kuondoka AZAM fc kwenda Yanga na wakaruhusiwa kuondoka bila migogoro tatizo la Feisal liko wapi.

Manara alipokuwa Simba ilivuja clip analia akidai anateswa na aliyekuwa CEO wa Simba mwanadada Barbra Gonzalez na malipo kiduchu ya mshahara kama house girl manara akatoka Simba akaenda Yanga kwasababu ya maslahi yake binafsi na ugomvi binafsi sasa feisal akisema ana tatizo na engineer na sio yanga tatizo liko wapi.

Feisal anadai hajui lugha ya malkia na amesaini kitu asichokijua labda kutokana na pressure au ahadi alizoahidiwa ahadi hazijatimia kaamua kuondoka tatizo liko wapi.

Feisal alirudisha pesa anazotakiwa kurudisha ikiwa atavunja mkataba na yanga kama ilivyokuwa kwenye kipengele chake alifanya hivyo ili aondoke tatizo liko wapi.

Kama feisal alivumilia kipindi cha zahera na team ilikuwa na hali mbaya kwa nini yanga wanashindwa kumpa thamani yake na kumuheshimu kama tatizo ni hela kwa nini hakuondoka kipindi cha bakuli akaenda lunyasi ila kwa mapenzi yake akaaamua kubaki jangwani tatizo la feisal liko wapi.

Kama yanga wanadai feisal ni mdogo kuliko yanga na ni kweli sasa kwa nini mnang'ang'ania abaki jangwani wakati kipengele cha ku terminate mkataba kipo feisal sio wa kwanza kuvunja mkataba kwa club na haitakuwa mwisho kumbukeni uhuni mliofanya kwa yondani marehemu sonso na lamine pamoja na saidoo na lucy aymel na walikuwa na mkataba bado ila mlifanya uhuni sasa nini kinashindikana kwa feisal.

NB:Kama mashabiki wa yanga wanaamini haji manara ni yanga damu licha ya kuwatukana na kuwaita majina ya kejeli kibao basi ni ngumu pia kuamini aliyoyasema feisal

Kama Morrison alishinda CAS kwa nini feisal asijaribu bahati yake kumbuka yanga hawajawahi kushinda kesi yoyote hata iwe ya kuku wakiongozwa na mwanasheria wao.

Simon Patrick aliwaingiza yanga chaka wakaenda CAS wakaangukia pua na hapa kawaingiza chaka kwa feisal wanaenda kuoga mvua na fine kam kawaida yao.
 
Yaani umeshauri na conclusion hapo hapo, so unafananisha hili na Morrison. Kama walikuwa waendaji CAS wangeenda siku nyingi, kwani Yanga baada ya kuchemka TFF kesi ya Morrison, wakaenda CAS.Wao wamekomaa TFF mara tatu na zote wamebwagwa na Yanga na mwanasheria huyo huyo Simo , kawabwaga wanasheria watatu.

Halafu hujui huyo mwanasheria aliyesimamia kesi ya Morrison kabwaga mara mbili, sasa hivi ndio wamemuongeza huyo mama mwengine ambaye nae kabwaga tena kwa mara ya tatu na huyo huyo wakili Simon.

Halafu Scenario ya Sureboy, Muda, Morrison na Fei hazifanani.Tatizo lako unafananisha na mwanzo mlizani Yanga watachemka kwa Fei ila ikawa tofauti.

Nyie mchangieni tunamsubiri CAS tumbwage kwa mara nyingine.
 
Kesi gani yanga walishinda nikumbushe maana hii ya feisal bado mbichi
 
"Bora nisicheze mpira kuliko kuitumikia Yanga"

Nyie Gongowazi mlimfanya nini huyu dogo?
 
Kesi gani yanga walishinda nikumbushe maana hii ya feisal bado mbichi
Ubichi wake upo wapi ,kesi ishasikilizwa mara tatu na zote Yanga kashinda chini ya Simon na kamwaga mwasheria aliye simamia kesi ya Morrison mara mbili au may be kesi mpaka iwe mbichi inauwaje labda.

Halafu mwanasheria wake aliye bwagwa mara ya tatu ndio huyo kwenye clip anaongozwa na hisia,wakati wenzake wanasimama ktk hoja.
 
Baada ya feisal salum kuzungumza leo kupitia clouds fm mambo mbali mbali aliyopitia yanga na maisha yake ya soka kwa ujumla ila bado kuna vitu vinafikirisha sana kwa yale aliyoyasema dhidi ya yanga tupate tafakuri kidogo ya mambo hayo:‐

Feisal alikuwa mchezaji wa yanga toka kipindi wanapitisha bakuli iweje ghafla tu kijana alazimishe kuvunja mkataba tena kipindi cha neema.

Mudathir yahya na sureboy waliomba kuondoka AZAM fc kwenda yanga na wakaruhusiwa kuondoka bila migogoro tatizo la feisal liko wapi.

Manara alipokuwa simba ilivuja clip analia akidai anateswa na aliyekuwa CEO wa simba mwanadada Barbra Gonzalez na malipo kiduchu ya mshahara kama house girl manara akatoka simba akaenda yanga kwasababu ya maslahi yake binafsi na ugomvi binafsi sasa feisal akisema ana tatizo na engineer na sio yanga tatizo liko wapi.

Feisal anadai hajui lugha ya malkia na amesaini kitu asichokijua labda kutokana na pressure au ahadi alizoahidiwa ahadi hazijatimia kaamua kuondoka tatizo liko wapi.

Feisal alirudisha pesa anazotakiwa kurudisha ikiwa atavunja mkataba na yanga kama ilivyokuwa kwenye kipengele chake alifanya hivyo ili aondoke tatizo liko wapi.

Kama feisal alivumilia kipindi cha zahera na team ilikuwa na hali mbaya kwa nini yanga wanashindwa kumpa thamani yake na kumuheshimu kama tatizo ni hela kwa nini hakuondoka kipindi cha bakuli akaenda lunyasi ila kwa mapenzi yake akaaamua kubaki jangwani tatizo la feisal liko wapi.

Kama yanga wanadai feisal ni mdogo kuliko yanga na ni kweli sasa kwa nini mnang'ang'ania abaki jangwani wakati kipengele cha ku terminate mkataba kipo feisal sio wa kwanza kuvunja mkataba kwa club na haitakuwa mwisho kumbukeni uhuni mliofanya kwa yondani marehemu sonso na lamine pamoja na saidoo na lucy aymel na walikuwa na mkataba bado ila mlifanya uhuni sasa nini kinashindikana kwa feisal.

NB:Kama mashabiki wa yanga wanaamini haji manara ni yanga damu licha ya kuwatukana na kuwaita majina ya kejeli kibao basi ni ngumu pia kuamini aliyoyasema feisal

Kama Morrison alishinda CAS kwa nini feisal asijaribu bahati yake kumbuka yanga hawajawahi kushinda kesi yoyote hata iwe ya kuku wakiongozwa na mwanasheria wao.

Simon Patrick aliwaingiza yanga chaka wakaenda CAS wakaangukia pua na hapa kawaingiza chaka kwa feisal wanaenda kuoga mvua na fine kam kawaida yao.
TATIZO LA FEISAL NI UJINGA HAKUNA ZAIDI YA HAPO
 
Anachokitaka hajapewa.

Kwasababu alitaka kuondoka Hersi akamuambia hapa huondoki nenda CAS
Duu kwa hiyo Hersi ndiye aliye mwambia aende CAS? Inawezekana basi hata huo mchango wa kwenda CAS idea itakuwa ya Hersi.

Hersi hamzuii Fei kuondoka bali mkataba alio ingia na Yanga, Hersi yupo pale kama msimamizi wa Yanga,hata kama yeye Hersi akitoka atakaye kuja nae atasimamia vilevile kama mikataba inavyosema.

Halafu huyu alidai Yanga wanamsingizia anauza mechi,wakati Yanga imecheza mechi 49 bila kufungwa,sasa najiuliza walikuwa wanamsingizia vipi na wakati gani.
 
Masaa 6 waliyokaa kuzungumza kuhusu kuondoka Yanga kwanini Hersi hakukubali na badala yale akasema nenda CAS?

Ditram nchimbi tangu ameondoka ana muda gani?

Kwani tuhuma za kuuza mechi huja pale timu inapokosa ushindi au pale wakati mechi ikiendelea linapotokea tukio ambalo mnalitafsiri negative kwa kumuona mchezaji amefanya makusudi kuacha kufunga?

Hata ikitokea mechi mmeshinda ila hilo tukio bado upo uwezekano wa kulisema kwa namna hiyo ya kumtuhumu mchezaji na kuuza mechi
 
Baada ya feisal salum kuzungumza leo kupitia clouds fm mambo mbali mbali aliyopitia yanga na maisha yake ya soka kwa ujumla ila bado kuna vitu vinafikirisha sana kwa yale aliyoyasema dhidi ya yanga tupate tafakuri kidogo ya mambo hayo:‐

Feisal alikuwa mchezaji wa yanga toka kipindi wanapitisha bakuli iweje ghafla tu kijana alazimishe kuvunja mkataba tena kipindi cha neema.

Mudathir yahya na sureboy waliomba kuondoka AZAM fc kwenda yanga na wakaruhusiwa kuondoka bila migogoro tatizo la feisal liko wapi.

Manara alipokuwa simba ilivuja clip analia akidai anateswa na aliyekuwa CEO wa simba mwanadada Barbra Gonzalez na malipo kiduchu ya mshahara kama house girl manara akatoka simba akaenda yanga kwasababu ya maslahi yake binafsi na ugomvi binafsi sasa feisal akisema ana tatizo na engineer na sio yanga tatizo liko wapi.

Feisal anadai hajui lugha ya malkia na amesaini kitu asichokijua labda kutokana na pressure au ahadi alizoahidiwa ahadi hazijatimia kaamua kuondoka tatizo liko wapi.

Feisal alirudisha pesa anazotakiwa kurudisha ikiwa atavunja mkataba na yanga kama ilivyokuwa kwenye kipengele chake alifanya hivyo ili aondoke tatizo liko wapi.

Kama feisal alivumilia kipindi cha zahera na team ilikuwa na hali mbaya kwa nini yanga wanashindwa kumpa thamani yake na kumuheshimu kama tatizo ni hela kwa nini hakuondoka kipindi cha bakuli akaenda lunyasi ila kwa mapenzi yake akaaamua kubaki jangwani tatizo la feisal liko wapi.

Kama yanga wanadai feisal ni mdogo kuliko yanga na ni kweli sasa kwa nini mnang'ang'ania abaki jangwani wakati kipengele cha ku terminate mkataba kipo feisal sio wa kwanza kuvunja mkataba kwa club na haitakuwa mwisho kumbukeni uhuni mliofanya kwa yondani marehemu sonso na lamine pamoja na saidoo na lucy aymel na walikuwa na mkataba bado ila mlifanya uhuni sasa nini kinashindikana kwa feisal.

NB:Kama mashabiki wa yanga wanaamini haji manara ni yanga damu licha ya kuwatukana na kuwaita majina ya kejeli kibao basi ni ngumu pia kuamini aliyoyasema feisal

Kama Morrison alishinda CAS kwa nini feisal asijaribu bahati yake kumbuka yanga hawajawahi kushinda kesi yoyote hata iwe ya kuku wakiongozwa na mwanasheria wao.

Simon Patrick aliwaingiza yanga chaka wakaenda CAS wakaangukia pua na hapa kawaingiza chaka kwa feisal wanaenda kuoga mvua na fine kam kawaida yao.
Mgongolwa aliwashawishi yanga waende CAS kwenye kesi ya Morison na yeye alikuwa wakili
 
Masaa 6 waliyokaa kuzungumza kuhusu kuondoka Yanga kwanini Hersi hakukubali na badala yale akasema nenda CAS?

Ditram nchimbi tangu ameondoka ana muda gani?

Kwani tuhuma za kuuza mechi huja pale timu inapokosa ushindi au pale wakati mechi ikiendelea linapotokea tukio ambalo mnalitafsiri negative kwa kumuona mchezaji amefanya makusudi kuacha kufunga?

Hata ikitokea mechi mmeshinda ila hilo tukio bado upo uwezekano wa kulisema kwa namna hiyo ya kumtuhumu mchezaji na kuuza mechi
Hersi Yanga sio mali yake binafsi maamuzi yote akitaka kuyafanya lazima atakaa na bodi na kama alimwambia aende CAS yupo sawa, sababu hata Hersi atapita Yanga ataiacha na mkataba kaingia na Yanga na si Hersi.

Hamna kitu kama hiko yaani timu ipate matokeo chanya then wamuhisi mtu anatoa boko sioni haileti maana.

Halafu Kipanya leo alikuwa anawaenjoy.
Screenshot_20230601_224545_Photos.jpg
 
Back
Top Bottom