hakuna vitendea kazi..
Wanaboa sana,ukiangalia michuzi hauna haja kuangalia jiachie wala ngowi yani ni yaleyale bora mange anajitahidi.
Hapa ndipo unaweza kumrahisishia mtu makini ajuwe wewe ni mtu wa viwango gani!!...Wanaboa sana,ukiangalia michuzi hauna haja kuangalia jiachie wala ngowi yani ni yaleyale bora mange anajitahidi.
Kwa kweli kama kuna kitu ambacho sijui ni ushamba,kukosa picha/habari au matukio ,blogs zote za TZ zinakopy matukio kutoka moja kwenda nyingine.
ni nadra sana kuona picha au tukio moja katika blog x na husiikite katika blog y kwa nini?
naongelea hasa zile blogs maarufu