Tatizo la COPY&PASTE kwa Ma-Bloggers wa Tanzania!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Kwa kweli kama kuna kitu ambacho sijui ni ushamba,kukosa picha/habari au matukio ,blogs zote za TZ zinakopy matukio kutoka moja kwenda nyingine.

ni nadra sana kuona picha au tukio moja katika blog x na husiikite katika blog y kwa nini?

naongelea hasa zile blogs maarufu
 
Wanaboa sana,ukiangalia michuzi hauna haja kuangalia jiachie wala ngowi yani ni yaleyale bora mange anajitahidi.
 
Wanakosa cha kuweka ndo maana wanaamua kufanya copy and paste utaona blogs zote picha ni hiyo hiyo/ hizo hizo
 
Kwa kweli kama kuna kitu ambacho sijui ni ushamba,kukosa picha/habari au matukio ,blogs zote za TZ zinakopy matukio kutoka moja kwenda nyingine.

ni nadra sana kuona picha au tukio moja katika blog x na husiikite katika blog y kwa nini?

naongelea hasa zile blogs maarufu

Hata mimi zamani nilifiiiri hivi hivi. Lakini baada ya kuwa kwenye mafunzo kwa vitendo katika gazeti moja maarufu nchini Marekani nikiwa chuoni, nilikuja kufahamu hata nchi za wenzetu ni jambo la kawaida kutokana na mfumo wa upatikanaji wa habari. Huko ng'ambo wengi huandika habari kutokana na source nyingi za online. Ingawa hawa wanaotuma habari online hudai malipo, kwa asiyelipia hawezi kupublish habari hiyo gazetini au audience nyingine.

Kwetu tunaona kama jambo jipya lakini ni la kawaida.
 
lisikitishwa na news za michezo, nikiwa kama mpenzi wa michezo nashangaa kwa mfano magazeti kama sports starehe, dimba nk habari zao zote ni mtu amekaa kwenye net anacopy one to one ( kwa waliosoma hesabu wataelewa kwa urahisi ) anatafsiri lugha tu! yaani full wala habadili hata kionjo!
 
uko sahihi mkuu, mfano michuzi,jiachie,mtaa kwa mtaa! cjui hata kwanini asingebaki na blog moja,kanyumbulisha cjui "juniour" wanaandika yale yale, nyambaf kabisa!
 
kwa upeo wangu na katika kuchunguza hizi blogs nimegundua kwamba habari nyingi huwa wanatumiwa na wahusika na si kucopy na kupaste kama unavyo fikiria nadhani waulize wahusika utambiwa. Utakuta mtu anahabari yake basi anaituma kwa bloggers wote kupiti amailing list yake na ikumbukwe kila blog inawasomaji wake kuna wengine hawaingii kwa michuzi au kwa mjengwa so ikiwekwa kwingine ambako wanaingia wanapata kuisoma habari. Kuna matukio mengine huwezi kuzuia mfano msiba wa kanumba nayo utasema ni copy&paste? Ingia BBC, CNN na websites zingine utakuta kuna habari kibao zinafnana tofauti utakuta ni unadikaji wa habari lakini habari ndo hiyo hiyo.
 
Kwa kweli kama kuna kitu ambacho sijui ni ushamba,kukosa picha/habari au matukio ,blogs zote za TZ zinakopy matukio kutoka moja kwenda nyingine.

ni nadra sana kuona picha au tukio moja katika blog x na husiikite katika blog y kwa nini?

naongelea hasa zile blogs maarufu

Ndiyo uone wabongo walivyo, yaani hawana mbinu za kuwa unique. Wanajifanyia vitu kama vile wasanii wa fleva, kuigana. Inakera sana!
 
Wanaboa sana,ukiangalia michuzi hauna haja kuangalia jiachie wala ngowi yani ni yaleyale bora mange anajitahidi.

Naona umelewa. Mange, what the ****? Demu hana akili na hajawahi tu kuwa na akili maishani mwake. Uliza waliosoma naye utapata data zake. That's why she's acting the way she's acting. You can never take her seriously unless you too are useless.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom