Nkarahacha Member Joined Oct 3, 2023 Posts 25 Reaction score 47 May 27, 2024 #1 Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu. Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu
Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu. Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,537 Reaction score 18,753 May 27, 2024 #2 Tuma salamu kwa watu wa 3
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,901 Reaction score 287,999 May 27, 2024 #3 jana nimenunua vocha imeandikwa elfu 5000 ila nimeambiwa nilipe 5500
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 3,739 Reaction score 9,113 May 27, 2024 #4 Erythrocyte said: jana nimenunua vocha imeandikwa elfu 5000 ila nimeambiwa nilipe 5500 Click to expand... Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc
Erythrocyte said: jana nimenunua vocha imeandikwa elfu 5000 ila nimeambiwa nilipe 5500 Click to expand... Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,901 Reaction score 287,999 May 27, 2024 #5 Mvinyo mpya said: Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc Click to expand... Kwa vile nishajua nitafanya hivyo
Mvinyo mpya said: Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc Click to expand... Kwa vile nishajua nitafanya hivyo
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,093 Reaction score 39,613 May 27, 2024 #6 Tuangalie kwa jicho la biashara vocha za elfu 10,zikiuzwa zote faida ni shilingi 40🤣🤣🤣 Haitakiwi hata umkopeshe mtu utakuwa umekula mtaji.
Tuangalie kwa jicho la biashara vocha za elfu 10,zikiuzwa zote faida ni shilingi 40🤣🤣🤣 Haitakiwi hata umkopeshe mtu utakuwa umekula mtaji.