Tatizo la 0 kupotea kwenye namba ya simu.

Tatizo la 0 kupotea kwenye namba ya simu.

east36

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,333
Reaction score
571
Mimi ni mtumiaji wa simu yenye kutumia system ya android. Sasa basi katika kupiga simu kwa watu tofauti kuna tatizo limekua likijitokeza.

Nikipiga simu kwa mtu fulani kutoka kwenye contacts zangu inapiga safi kabisa.

Tatizo linajitokeza nikitaka kuipiga ile namba tena ile sifuri inakua imefutika. Kisha napata ujumbe tafadhali angalia namba unayopiga kisha upige tena.

1.Je hili tatizo linasababishwa na nini?

2.Ni njia gani nitumie niweze kutatua hili tatizo.

Nawasilisha.

Cc Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko Mwl. rct
 
Last edited by a moderator:
Imejaribu kurestatt simu? Kama umerestart bado tatizo lipo fanya factory reset kisha jaribu tena.
 
Umejaribu kurestart simu? Kama umerestart bado tatizo lipo fanya factory reset kisha jaribu tena.
 
Umejaribu kurestart simu? Kama umerestart bado tatizo lipo fanya factory reset kisha jaribu tena.

Nimerestart simu ndugu. Lakini tatizo bado lipo.

Alafu hili tatizo nimeshaliona pia kwa watu wawili wengine.
 
Wahanga wengi nami simu yangu huwa inapatwa na tatizo hilo. Huwa nafanya factory reset inakua ok
 
Wahanga wengi nami simu yangu huwa inapatwa na tatizo hilo. Huwa nafanya factory reset inakua ok

Factory reset mpaka mambo ya kubackup simu tena inakua process ndefu.

Kama kuna shortcut itakua afadhali sana.
 
Piga kwa kuanza na +255 na save contact zako hivyo.

Alternative download dialer nyengine playstore utumie hio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom