Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
Jamani habari zenu. Nina printer ya hp laserjet 1010, sasa niliiweka stoo maana nilisafiri kwa muda wa miezi kadhaa, sasa nimerudi nikiprinti naona wino unavuja. nikiifungua ndani na kutoa ile catridge yake, naona inavuja wino. Sasa ntafix vipi hili tatizo, ninunue wino mpya au ntafanyaje ili catridge isiendelee kuvuja wino?