Tatizo kwenye Nokia lumia, "Error unable to find a bootable option"

Tatizo kwenye Nokia lumia, "Error unable to find a bootable option"

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Simu yangu ya Nokia Lumia, imejizima ghafla kila nikiiwasha haiwaki na badala yake inanijibu ERROR: UNABLE TO FIND A BOOTABLE OPTION.PRESS ANY KEY TO SHUT DOWN
Please naomba msaada kwa mwenye kujua juu ya hili tatizo, kama kuna fundi mtaalamu anaweza kunipm
 
Nokia wana tools Hadi za unbrick simu.

Download Nokia care then iflash.
 
Bonyeza button ya volume down na button ya power kwa wakati mmoja kwa sekunde kadhaa hadi usikie simu ime vibrate baada ya hapo itawaka
 
Bonyeza button ya volume down na button ya power kwa wakati mmoja kwa sekunde kadhaa hadi usikie simu ime vibrate baada ya hapo itawaka
inawaka the hiii msg inatokea ERROR: UNABLE TO FIND A BOOTABLE OPTION.PRESS ANY KEY TO SHUT DOWN then inazima tena,vipi nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom