tatizo kwenye laptop yangu

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
kuna huu ujumbe naukuta ninapocheki devices zangu. REVIEW THE SOLUTION FOUND FOR THE DRIVER PROBLEM.

THERE IS NO DRIVER SOFTWARE INSTALLED FOR BASE SYATEM DEVICE

naombeni mwongozo wenu katika hili. hii driver ni ipi na nai install vipi maana nilijaribu nikaambiwa nahitaji disk

halafu ninapofanya trouble shooting naambiwa

1. mobile broadband controller has a driver problem

2. base system devie doesnt have adriver

3. broadcom USH doesnt have a driver

halafu kutokana na haya, modem yangu inakata network kila wakati jambo linalonifanya kudisconect na ku connect ili kupata network. naombeni msaada.

Mashine yako inamiss some drivers! Kuhusu hiyo ya kwanza ya mobile broadband jaribu ku uninstal driver soft yake alafu ufanye installation. Jinsi ya kuona drivers ambazo hazijawa installed right click my computer then click manage alafu bonyeza device manager hapo utaziona driverz, kwa ambazo hazijawa instaled zitakuwa na alama ya kuuliza (? ) hizo ndo waweza zifanyia insltn

inawezekana uliturn on automatic updates ya windows na ulipotumia internet ikadownload hizo updates na huenda tatizo limeanzia hapo

poa mkuu. Nitacheki na ushauri wako

inawezekana uliturn on automatic updates ya windows na ulipotumia internet ikadownload hizo updates na huenda tatizo limeanzia hapo

hapa sasa suluhu ni nini ndugu

Mashine yako inamiss some drivers! Kuhusu hiyo ya kwanza ya mobile broadband jaribu ku uninstal driver soft yake alafu ufanye installation. Jinsi ya kuona drivers ambazo hazijawa installed right click my computer then click manage alafu bonyeza device manager hapo utaziona driverz, kwa ambazo hazijawa instaled zitakuwa na alama ya kuuliza (? ) hizo ndo waweza zifanyia insltn

Mkuu mimi nafikili alama ya kuhuliza (?) kwenye Device Manager Panel inakutaharifu kwamba drivers ulizo imstall hazifanyi kazi vizuri yaani kuna mushikiri, huwezi kupata alama ya (?) kwenye DEVICE yoyote kwenye panel bila ya ku-attempt ku-install dodgey drivers.

nenda kwenye website ya mashine unayotumia download driver zote hasa za network na motherboard...

kuna hii moja inaitwa broadcom USH. Nimeicheki huko dell.com wakasema kwa sasa haipo. Inawezekana?

Halafu kuna hili tatizo la net kukata. Tatizo liko kwenye DNS server. How do i fix it

guys, how do i fix primary DNS servwr problem. help plz. net inakata sana

Ndugu zangu laptop yangu imekata sauti haitaki kutoa sauti,naombeni msaada wenu

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom