Tatizo: Kuna foleni kubwa katika barabara ya Nyerere, tatizo ni nini?

poleni sana wamaume wa dar mnamatatizo sana kitu kidogo mnalia lia kwanini
 
Ile mwendo kasi ilitakiwa ianzie barabara za gongo la mboto kwenda mjini na mbagala kwenda mjini, huko kwingine walipiteza hela bure
 
Kimsingi nilijifunza kitu. Muda wa kutoka kwenda kazini lazima uwe opposite na watu wengine then nikajifunza kama utatumia usafiri binafsi tafuta gari nzuri na ya kuweza kuhimili. Baada ya hayo yote sijawahi kulalamika foleni tena tokea mwaka 2014.

Sasa haya ulioandika plus video yana uhusiano gani na foleni ya Tazara? Na hilo gari lako la tangu 2014, lina namba za nchi hiyo since then?
 
Sasa haya ulioandika plus video yana uhusiano gani na foleni ya Tazara? Na hilo gari lako la tangu 2014, lina namba za nchi hiyo since then?
Nimetolea mfano, Nikueleze tu ukiwa na gari ngumu na yenywe kuhimili rafu road unapita kokote ila ukiwa na vitz au alteza lazima ufuate njia na huko ndo kuna foleni.
 
Nimetolea mfano, Nikueleze tu ukiwa na gari ngumu na yenywe kuhimili rafu road unapita kokote ila ukiwa na vitz au alteza lazima ufuate njia na huko ndo kuna foleni.
Ungeeleza angalau hiyo njia ya rough kutoka Tazara hadi Gongo La Mboto, Magomeni kwenda Kimara. Maana wengine Suzuki tunazo ila njia ndio hatuzijui
 
Ungeeleza angalau hiyo njia ya rough kutoka Tazara hadi Gongo La Mboto, Magomeni kwenda Kimara. Maana wengine Suzuki tunazo ila njia ndio hatuzijui
mkuu huu ni utafiti wako binafsi ila kwa kwenda mjini kutokea kimara unaweza ukatoka kimara baruti -chuo- kwa kakobe then polisi mabatini then akachube road , kwa kopa then biafra then WFP- stanbic salender then town. Hii wengi sana wanaitumia ila ukiwa na gari ndogo utangata mmeno balaa.nahisi pia kuna njia imechongwa kutoka mbezi hadi kimara kule mwisho wa eneo la barabara nayo unaweza pita (Angalizo usitanue tii sheria)
 
Foleni Kali sana, barabara ya Nyerere road, gali zimeumana kuanzia gongolamboto hadi tazara, Hakuna anaesogea, tatizo nini? Wahusika hasa jeshi la police tunaomba msaada wenu kwakweli.
kinjumbi one ujue wakati mwingine lazima ujiongeze ila uwe na mafuta ya kutosha maana kuwahi bhana aidha uwahi mapema sana kutoka home au ujiongeze, leo niliamkia kwa dada yangu flani hivi kwenye saa 10 kuna mzigo nilienda kuchukua si nikachelewa kurudi ujue nilifanyaje nilipofika junction ya NKRUMAH nikapita kwa mbele kidogo kulia kuna barabara ya kulia nikachukua barabara ya LUGODA nikanyoosha nikatokea barabara ya GEREZANI nikatokea SOKOINE DR mbele huko kushoto nikakutana na barabara ya BRIDGE kulia nikakutana na barabara ya MANS FIELD nikala kushoto nikaingia MKWEPU baada ya hapo nikaingia SAMORA. dah ninge chelewa mana finger print ni mbaya sana.
 
Foleni Kali sana, barabara ya Nyerere road, gali zimeumana kuanzia gongolamboto hadi tazara, Hakuna anaesogea, tatizo nini? Wahusika hasa jeshi la police tunaomba msaada wenu kwakweli.
Pia inavyoonekana magari toka chang'ombe kuja town or wherever yanapendelewa sana hasa kwenye mataa ya chang'ombe na kuna tetesi jamaa huwa wanarushiwa kitu kidogo ndio maana wanaotoka asubuhi gongolamboto au kurudi jioni wanasimama mda mrefu sana pale kwenye mataa mkuu wa trafic inabidi achunguze hili
 
Dar Es salaam ni jiji la watu karibia mil 5! Sishamgai kwa usumbufu huu. .hii idadi ya watu wa dar ni sawa au karibia na Los Angeles, jiji la Dar lina watu wengi kushinda hata chicago! Lakini miundo mbinu ya dar kuhusu usafiri wa umma nk haifikii hata kiduchu na miji hiyo niliyoitja. Tatizo ndiyo. Hilo mjomba. Kwa idadi hiyo ya watu, Dar ilitakiwa iwe na high way. Kuzunguka jiji zima. ..tuna safari ndefu ndugu zangu. Mchonga baada ya kupata uhuru akawa anakazania vita tuu ya kuwakomboa sijui akina nani! Na kusahau nyumba yake.
 
Back
Top Bottom