moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,900
- 4,865
Tunaomba maaskari wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani kuingilia kati kwani watu wanachelewa kwenye majukumu yao ya kitaifa, wanafunzi n.k.
Kuna foleni kubwa inayoendelea kurefuka kutoka kwa round about ya kwa Aziz Ally inaendelea mpaka kwenye daraja la treni hapa Mtongani mpaka Mbagala mission na kuendelea mpaka maeneo ya St. Anthony, Kipati.
Tunaomba Serikali ifungue njia ya mwendokasi kwa kipindi hiki ambacho barabara kuu imefunga.
Kwa nini tusitumie barabara ya mwendokasi ilihali imekamilika???
Kama Serikali bado haitaki kuifungua sababu ya mabasi au sababu zingine za kiutawala basi turuhusu watu binafsi wapite kuwahi makazini.
Tunaonekana mazuzu wote tumebanana kwenye foleni moja ndefu wakati mwendokasi imepumzika na imewekewa mawe makubwa kuzuia magari...
Tuokoe muda wa kulijenga taifa.