Mwanaitelejensi
Senior Member
- Jan 30, 2011
- 104
- 2
Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambia kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao n huku Mifisadi mikubwa ikitumi Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi wadogo wakiwatetea baba zao kwenye mitandao, na baba zao wakiwa upande wa pili ya TV's. Zipuuzeni wana-JF hizo post zao wanatafuta cha kuanzaia nacho. Nawasilisha.