Tatizo kubwa-1: Cdm = ccm; let me be open...chadema katika hili mmeangushwa and you will die

Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambiwa kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao na huku Mifisadi mikubwa ikitumia Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi wadogo wakiwatetea baba zao kwenye mitandao, na baba zao wakiwa upande wa pili wa TV's. Zipuuzeni wana-JF hizo post zao wanatafuta cha kuanzaia nacho. Nawasilisha

See how you have proved my hypothesis! mnaboa hakuna hoja ya wanachadema humu ya kulijenga taifa ni blah blah tu
 
Big up!Nami nimebaini hilo kwani kuna posts za ajabu ajabu zimeanza kujitokeza na zote zikiwa na dhima ya aina moja: ku-paint picha kuwa harakati za Chadema si kwa manufaa ya Watanzania.Good news is,ukiona mtu anajikuna basi ujue amewashwa.Ujumbe wa Chadema unawanyima usingizi mafisadi na vikaragosi wao

kwenye hizo post mlijibu hoja??

mmeiharibu JF yetu, sijui mmetokea wapi wanachadema wa kabla ya 2010 May walikuwa na mapoint kibao!
 
Ajikunaye ujuwe kawashwa.Laiti Chadema wangekuwa the way you unsuccessfully tried to portray them wala usingepoteza muda wako kuwazungumzia.Na mtasema sana mwaka huu.So did Mubarak and Ben Ali....

swala la katiba limeishia wapi, chadema bado haina nguvu ki-hivyo ila PAMPJA TUNAWEZA KULETA NGUVU MKIBADILI MITIZAMO YENU
 
Mkuu ingawa umeongea kwa jazba, nadhani kuna jambo Chadema wanaweza kujifunza kutoka kwenye hili angalizo lako. Hata mimi huwa najiuliza iwapo CCM wakianza mikakati ya kusafisha chama na kuwajibika, Chadema wana mikakati gani mingine ya kuendelea kujipatia sapoti ya Umma kama ilivyo sasa?

Gud, kwa hali hiyo ccm watakuwa wame deliver to our expectations, na hiyo ndio kazi ya opposition kuhakikisha hao mafisadi wanaacha kula nchi na wanaanza kufanya kazi tuliyowatuma. Subiri 2015 mtakapokuwa wapinzani ndio mtaelewa na jinsi mlivyo wavivu wa kufikiri sijui itakuaje, mtatoa mpaka albamu za mipasho, si mmesikia M7 wa Uganda ana Single yake sasa hivi, ukitaka kuelewa zaidi msikilize JK, sophia simba, wassira na tendwa.
 
Waberoya,

Inawezekana kuna jambo ambalo halijakufurahisha. Lakini hujalisema kwenye post yako. Hujasema umbumbumbu wa Chadema ni nini haswa.

Kwa mfano, hapa inawezekana mimi kama mwanachadema ni mbumbumbu kwa sababu nashindwa kujibu hoja yako. Siijui.

Ingekuwa vyema ukaisema wazo kwa sentensi mbili au tatu ili tuijibu hoja yako. Kama ina ukweli tutakubali kukosolewa, hilo sio tatizo.

Mh. nimesema umbumbumbu wa baadhi ya wafuasi wa chadema sina wasiwasi na uwezo wa viongozi wa CDM,

Umefikia wakati tuwaeleze kuwa wengi wao umbumbumbu wao unajulikana, na unafukuza wanachama wengi wapya chama kitaonekana cha wajinga tu. angalia hoja zao ni vigumu kukuta hoja maridhawa iliyoandikwa na mwanachadema ukapata kitu au kusikia challenge na kuwaonea huruma CCM! wafuasi wenu wengi humu JF ni vilaza, wao matusi tu, vijembe na kufuata mkumbo CCM-sidhani hata kama wana muda wa KUJISOMEA MAMBO MBALIMBALI yaani aibu tupu! this have to end! haitaondoka tukiwa na hawa wasiofikiria hatari na nguvu ya adui, msuli mkumbwa mno na akili ni ndogo sana kwa JF-Chadema wengi! SIO WOTE

Mbona hoja zako Mh. zinalipa?

Mkuu ingawa umeongea kwa jazba, nadhani kuna jambo Chadema wanaweza kujifunza kutoka kwenye hili angalizo lako. Hata mimi huwa najiuliza iwapo CCM wakianza mikakati ya kusafisha chama na kuwajibika, Chadema wana mikakati gani mingine ya kuendelea kujipatia sapoti ya Umma kama ilivyo sasa?

Mitazamo kama hii ni migumu kupokelewa kwa CDM wengi humu, huwa hawajiulizi hivi na hawawazi hivi wanawaza kutukana tu

asante sana
 
MKUU unachoengea ni sahii kabisa,huo ugreat thinker wanounadi ni upi
nenda kwenye post yangu ya "pinda apokelewana mabango yanayolaani chadema" utajionea mwenyewe matusi niliyopewa mpaka nimekosa hamu na jf,yani baada ya kujibu hoja wanatoa vijembe na kukashifu,huu ndo u great thinker?

Sasa wewe ulikuwa unatakaje? Upewe tanks za kutosha au watu wachangiaje topic yako maana mara nyingi post zako zimekaa kipuupuuzi hata ukileta post za maana utaoga mvua ya matusi kwani ulishafuka toka mwanzo nakushauri uje na I'd nyingine la sivyo utaendelea kula matusi na kashifa mpaka JF uione chungu.
 
Tolea mfano Mzee ujinga wa wafuasi wa JF ni upi mbona unaonekana umekasirika badala ya kushauri manake hata wewe unaonyesha unataka wafuasi wa CDM wakubalikubali tu mambo hata yale yasiostahiki

waberoya yupo sahihi kabisa. Mfano mdogo
Leo kuna thread nimeiona humu inamshutumu mnyika kuwa anashinda facebook badala ya kushughulikia matatizo ya jimbo lake, cha ajabu magreat thinkers wakaanza kumponda mtoa mada badala ya kujadili kilicholetwa mezani na tujue tunamshauri nini mnyika.
Tubadilikeni jamani.
 
wambie maana wana matusi mia si kidogo

Hebu toa umbeya wako hapa...we unafikiri WABELOYA amekuja kusutana na mtu hapa yeye ameongea kila anachojisikia... Matokeo yake wakurupukaji kama wewe mnadandia hoja bila kua na uelewa wa kila unachokiandika hapa. Anyway sikulaumu maana uelewa wako ni mwembamba na shule za kata ndio zimekufanya uonekane kama zuzu fulani... Nilikuwa napita tu......
 
Wakati wengi tukilalamikia CCM kuwa ni wajinga, hawafai watoke madarakani na hawajui kujibu hoja. wana CDM wengi sana hasa walioko JF wanathibitisha ni jinsi gani wanavyoshabihiana na CCM kwa kila kitu, ikiwemo matusi, kukishindwa kujibu hoja, vijembe n.k

Is this could be realy politics or just wasting time??; mnakiharibu chama chenu, mnaharibu image yenu, mnaharibu sifa yenu, mnaharibu akili zenu, mnaaibika na kamwe chadema siku zijazo kinaweza kuwa cha mambumbumbu zaidi. Wengi hapa JF mkijionyesha ni wanachadema basi ndio raha yenu au kujionyesha mnajali...hii ni seduction au ndoto..bila akili wala kufikiri hatuchomoki kwa CCM kumbukeni watanzania hawa kuwageuza akili ni kitu cha masaa tu!

Leo mtu yuko radhi kupoteza muda kuwasema watu fulani wa CCM, na wakijitokeza angalau wazuri fulani kama akina MAGUFULI BASI CDM automatically imekufa na mpango mzima wa kuindoa CCM ndio unakufa!!! HII NI VITA NA WENYE AKILI TU NDIO WATAKASHINDA.

Tuhuma zinaelekezwa sana tu na zitaelekezwa tu kwa CDM tena sana, but we need shock absorbers to absorb this shock positively na sio kukurupuka na kuonyesha jinsi gani upeo wenu ulivyo dumavu. Akili za mikumbo ni mbaya sana na kwa kusema hivi sitasema tena . Ni jukumu la CDM kuwaaambia wanachama wenu jinsi gani ya kubehave.....watu wenye akili wataona huu ni ujinga na hamna tofauti na CCM tu wale wale.

Kujenga hoja ni ukomavu wa akili na ni tabia ya kiongozi bora na mfuasi bora.Hoja za billioni 20 mbona ni rahisi kuzijibu, matusi ya nini??

Siamini kama wengi ni failures humu...KAENI CHINI FIKIRI KABALA YA KUJIBU

Naanza kukiogopa chadema kwa mara nyingine tena. Mlinivuta juzi kwenye maadamano tunakoenda kama hamtabadilika kuna miaka 15 tena ya kuwaza kuingia madarakani. Na watu kama mimi tukisema ndio tumeamua!!

Hata siku moja haukuti constructive ideas za wana-CDM ni vijembe, kupeana taarifa, kulalamika, kutukana, n.k THESE ARE NOT THINKERS PLEASE DONT CONVINCE ME OTHERWISE!

Hakuna mtanzania aliyetayari kuwapa uongozi wa nchi chama ambacho viongozi wake wako smart lakini wafuasi wengi ni mbumbumbu!

CUF walianza vizuri viongozi walikuwa smart na wafuasi wao walikiangusha chama wakakipa title ya uislamu na leo hii kimeishakufa..afadhali ya CUF kipewe titile ya udini kuliko CDM kipewe title ya kuwa wafuasi wake ni wajinga! sitaki kufika huko!

Tatizo lako wewe dada/kaka/uncle/aunt ni kiburi,dharau,jeuri na ubinafsi ndio uliokujaa baada ya kushauri nini kifanye unaanza ktuka watanzania na wafuasi wa CDM ni mbumbumbu acha dharau na usijione wewe ni superior sana... Wewe ulichoandika hapa ni non sense kuliko hata hayo matusi na kejeli za wana JF ambao kwa mtazamo wako ni wana CDM. Siongei mengi ningekuwa kwenye PC ningeichambua post yako neno kwa neno...acha watu waandike na wapost wanachojisikia usitake kutuaminisha na mitazamo yako ya kindumilakuwili. Nimekuona mtu wa ajabu badala ya kutoa ushauri unaanza kulalamika kama JK. Kwaheri
 
waberoya yupo sahihi kabisa. Mfano mdogo
Leo kuna thread nimeiona humu inamshutumu mnyika kuwa anashinda facebook badala ya kushughulikia matatizo ya jimbo lake, cha ajabu magreat thinkers wakaanza kumponda mtoa mada badala ya kujadili kilicholetwa mezani na tujue tunamshauri nini mnyika.
Tubadilikeni jamani.

Hayuko sahihi huyo Waberoya, kwa mtazamo wangu maana angeeleza nini kifanyike sio kuanza kutubeza na kutuona kama ngedere wana JF ambao hatukubaliani na system ya utawala wa CCM. Kuhusu hiyo thread imeandikwa na mtu ambaye ni mpuuzi tu maana kaanza na thread inayosema Dr Slaa hatakuwa raisi wa sita huku akinukuu gazeti la daily news akaja na hiyo ya Mnyika halafu akaja na nyingine ya Zitto kamfagilia mbunge wa Ludewa halafu mtu mwenyewe kajiunga tarehe 9 march 2011 we unafikiria mashabiki na wapenzi wa CDM wamuache hivi hivi? Kuhusu ishu ya Mnyika jamaa anafanya kazi yake vizuri sana sina tatizo nae na yeye yupo hapa JF kwa hiyo anapitia na kuona lakini wakati mwingine sio vitu vya kumlaumu mtu acha mtu aonyeshe ushabiki na mapenzi yake kwa kiongozi anaempenda na kumkubali. Stand on your way usitake kuonekena mnafiki kwa kuunga mkono hata mambo amabyo yako negative ikiwemo post ya Waberoya ya leo maana imejaa dharau,matusi na kebehi
 
Tuacheni kufuata mkumbo, Tusikilizeni sera kwa umakini na tusikurupuke kufanya maamuzi,Kashfa na matusi siku zote zinadhihirisha ujinga na sio Uungwana.Binafsi sijawahi kuipenda c.c.m lakini bado sijaridhishwa na wapinzani. Kwa mtazamo wangu ninachokiona kwa wapinzani ni uchu wa madaraka kuliko uchu wa maendeleo.Achaneni na ushabiki.
 
unataka cdm wafanye nini mkuu? serikali inakopeshwa fedha za kulipa watumishi wake kutoka kwa PATEL? nchi iko mifukoni mwa ma********* ... peleka upupu wako kwa mamako, mjombako,shangazio, bashako, na ukoo wako ulio chakachuliwa... Tanzania hii yenye rasilimali kedekede imekuwa ya kukopa kwa SHUBASH PATEL?...xxx....xxxx
Sabodo na CHADEMA! Sabodo na CHADEMA si mliambiwa hapo mwanzo wa thread kuwa mko sawa kwa kila kitu na CCM.
 
Hayuko sahihi huyo Waberoya, kwa mtazamo wangu maana angeeleza nini kifanyike sio kuanza kutubeza na kutuona kama ngedere wana JF ambao hatukubaliani na system ya utawala wa CCM. Kuhusu hiyo thread imeandikwa na mtu ambaye ni mpuuzi tu maana kaanza na thread inayosema Dr Slaa hatakuwa raisi wa sita huku akinukuu gazeti la daily news akaja na hiyo ya Mnyika halafu akaja na nyingine ya Zitto kamfagilia mbunge wa Ludewa halafu mtu mwenyewe kajiunga tarehe 9 march 2011 we unafikiria mashabiki na wapenzi wa CDM wamuache hivi hivi? Kuhusu ishu ya Mnyika jamaa anafanya kazi yake vizuri sana sina tatizo nae na yeye yupo hapa JF kwa hiyo anapitia na kuona lakini wakati mwingine sio vitu vya kumlaumu mtu acha mtu aonyeshe ushabiki na mapenzi yake kwa kiongozi anaempenda na kumkubali. Stand on your way usitake kuonekena mnafiki kwa kuunga mkono hata mambo amabyo yako negative ikiwemo post ya Waberoya ya leo maana imejaa dharau,matusi na kebehi
Ushauri tu: Acheni hayo aliosema Waberoyo ambayo ameyaona yanawaharibia chama Unajuwa nilikuwa sipendi CCM kwa tabia yao ya kuifanya nchi ni hatimiliki yao na sasa sipendi tabia ya CHADEMA kujiona kuwa wao ni wakombozi na kumbe ni genge jengine badala ya CCM!
 
Waberoya kila thread chadema, chadema chadema hivi unajua tz kuna vyama angalau 18 vyenye usajili wa kudumu? hebu tuletee habari za PONA au TADEA basi
 
sasa muda woote unaandika upupu. hebu niambie chama ganikina support ya wasomi kama sio cdm? ccm imerundika majinga ndo maana inakufa! mf chunguza wakati wa midahala itv kipindi cha uchaguz slaa ni kikwete nani alitema point?
 
Ushauri tu: Acheni hayo aliosema Waberoyo ambayo ameyaona yanawaharibia chama Unajuwa nilikuwa sipendi CCM kwa tabia yao ya kuifanya nchi ni hatimiliki yao na sasa sipendi tabia ya CHADEMA kujiona kuwa wao ni wakombozi na kumbe ni genge jengine badala ya CCM!

Unavyosomeka ni kuwa hujui tofauti kati ya 1+1 na moja ongeza moja, ongeza jitihada kujieleza.
 
waberoya yupo sahihi kabisa. Mfano mdogo
Leo kuna thread nimeiona humu inamshutumu mnyika kuwa anashinda facebook badala ya kushughulikia matatizo ya jimbo lake, cha ajabu magreat thinkers wakaanza kumponda mtoa mada badala ya kujadili kilicholetwa mezani na tujue tunamshauri nini mnyika.
Tubadilikeni jamani.
akili za member wa jf changanya na zako. Hiyo post unayoitaja hapo juu imeletwa kumchafua tu mnyika so far mnyika ndiye mbunge ambaye ypo active na karibu sn na wananchi wake na hilo linaonekana wazi kwa kazi anazozifanya ubungo then anakuja mtu anasema eti mnyika anashinda facebook na sio kusolve matatizo ya wananchi. Hii si haki na mtoa mada hana nia nzuri na mbunge wetu. Na sisi kama wananchi tunaoona utendaji kazi wa mnyika hatuwezi tukakaa kimya na kuona ukweli unapindishwa ili kumharibia sifa nzuri aliyoijenga mbunge wetu.
 
sasa mambo kama hayo ingebidi aeleweshwe yule jamaa mtoa mada na sio kumshambulia.
Unajua watu wanaoandika upupu na sisi tukicomment upupu haileti maana. Kwenye mambo haya ya siasa inabidi tueleweshane kwa hoja hadi mtoa mada aelewe alipokosea wapi.
Tunavyotukana haijengi inabomoa.
Pamoja mkuu magogwajr.
 
Back
Top Bottom