Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Wakati wengi tukilalamikia CCM kuwa ni wajinga, hawafai watoke madarakani na hawajui kujibu hoja. wana CDM wengi sana hasa walioko JF wanathibitisha ni jinsi gani wanavyoshabihiana na CCM kwa kila kitu, ikiwemo matusi, kukishindwa kujibu hoja, vijembe n.k
Is this could be realy politics or just wasting time??; mnakiharibu chama chenu, mnaharibu image yenu, mnaharibu sifa yenu, mnaharibu akili zenu, mnaaibika na kamwe chadema siku zijazo kinaweza kuwa cha mambumbumbu zaidi. Wengi hapa JF mkijionyesha ni wanachadema basi ndio raha yenu au kujionyesha mnajali...hii ni seduction au ndoto..bila akili wala kufikiri hatuchomoki kwa CCM kumbukeni watanzania hawa kuwageuza akili ni kitu cha masaa tu!
Leo mtu yuko radhi kupoteza muda kuwasema watu fulani wa CCM, na wakijitokeza angalau wazuri fulani kama akina MAGUFULI BASI CDM automatically imekufa na mpango mzima wa kuindoa CCM ndio unakufa!!! HII NI VITA NA WENYE AKILI TU NDIO WATAKASHINDA.
Tuhuma zinaelekezwa sana tu na zitaelekezwa tu kwa CDM tena sana, but we need shock absorbers to absorb this shock positively na sio kukurupuka na kuonyesha jinsi gani upeo wenu ulivyo dumavu. Akili za mikumbo ni mbaya sana na kwa kusema hivi sitasema tena . Ni jukumu la CDM kuwaaambia wanachama wenu jinsi gani ya kubehave.....watu wenye akili wataona huu ni ujinga na hamna tofauti na CCM tu wale wale.
Kujenga hoja ni ukomavu wa akili na ni tabia ya kiongozi bora na mfuasi bora.Hoja za billioni 20 mbona ni rahisi kuzijibu, matusi ya nini??
Siamini kama wengi ni failures humu...KAENI CHINI FIKIRI KABALA YA KUJIBU
Naanza kukiogopa chadema kwa mara nyingine tena. Mlinivuta juzi kwenye maadamano tunakoenda kama hamtabadilika kuna miaka 15 tena ya kuwaza kuingia madarakani. Na watu kama mimi tukisema ndio tumeamua!!
Hata siku moja haukuti constructive ideas za wana-CDM ni vijembe, kupeana taarifa, kulalamika, kutukana, n.k THESE ARE NOT THINKERS PLEASE DONT CONVINCE ME OTHERWISE!
Hakuna mtanzania aliyetayari kuwapa uongozi wa nchi chama ambacho viongozi wake wako smart lakini wafuasi wengi ni mbumbumbu!
CUF walianza vizuri viongozi walikuwa smart na wafuasi wao walikiangusha chama wakakipa title ya uislamu na leo hii kimeishakufa..afadhali ya CUF kipewe titile ya udini kuliko CDM kipewe title ya kuwa wafuasi wake ni wajinga! sitaki kufika huko!