Sema tu kuwa CDM imeshakufa kabisaHili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema
1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema
2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu
3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015
4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko
Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Kwahiyo Chadema wana ushawishi mikoani?Ni kweli waandamanaji wengi walitoka mikoa ya jirani.
Wameshindwa kusoma alama za nyakati,hivi unadhani hawa machinga waliowapiga chini chadema hawa akili?Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema
1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema
2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu
3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015
4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko
Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Pongezi sana mkuu,ni mungu tu amekupa mwanga wa kuweza kuona kuwa CDM haifaiNi kweli, CDM ya kabla ya 2015 na sasa ni vitu viwili tofauti. Sasa sio CDM ile, sasa imekwisha habari yake. Katika mistake walizofanya no kujitoa kwenye bunge na siasa toka 2015 na ile ya watu kuunga juhudi. Imeumiza sana wadau nikiwemo mimi.
Nikikumbuka nilivyompambania Mzee Arfi pale Mpanda na kule Arusha kwa Joshua Nassari alafu leo wameunga mkono, naumia sana. Sasa kuliko kuwa mfuasi kindakindaki ni bora nipambanie ugali wa watoto wangu.
Mzee Mbowe na Genge lake walitegemea wanyimwe kibali cha kufanya maandamano ,wamepewa kibali ambacho matarajio yao ni sifuri kabisa.Hata kama wangejitokeza watu watano tu kikubwa ni je madai yao yanamshiko. Wameandamana siku ya kazi watu wengi tumekwendwa makazini na kwenye biashara zetu. Kikubwa ni kuwa serikali haikupenda maandamano ila imeona siku baada ya siku resistance inazidi kuwa kubwa kwahiyo ikaamua ipunguze tension kiasi fulani. Maandamano siyo mazuri na hii inakwenda mpaka baadaye yanazaa vurugu, mimi ninachoomba watu tofauti zao wamalizie mezani maandamano ni nusu shari siku za usoni tutazamie shari kamili.
Hofu ya wananchi kuhusu kupigwa na polisi bado haijatoka, muda mrefu maandamano yalipigwa marufuku. Bado hali haijarejea. Na hata pia wananchi wameishakata tamaa na mambo ya siasa kutokana na sababu mbalimbali zikwemo za udhibiti, Samiah anajaribu kurejesha imani na uchangamfu wa kisiasa enzi za 2015, miaka ya hapo katikati wananchi waliuawa na kujeruhiwa mno kwenye maandamano, tusisahau. kwa sasa Rais anarejesha confidence ya wananchi Kwa kuanzia kidogokidogo, na iwapo siasa za kununua wapinzani, kuwatisha, uchaguzi halali na bunge lenye wapinzani wengi litarejea, Hali ya siasa shirikishi na changamfu yakiwemo maandamano itarejea tena, welldone kwa CDM na Samia kwa kuanzia, Hata hivyo Ujumbe wa maandano ulifika hilo ndilo lengo kuu. uwingi wa waandamanaji upimwe kwa uhalisia wa kisiasa miaka 5 iliyopita na kinachofanyika sasa na 4 RHii ni tathmini- mtazamo au maoni? ⁰ unadhani watu wengine wangeacha kwenda kazini wakaandamane? Wengine mioyo yao imefarijika na wameunga mkono maandamano huko waliko not necessarily waende Road! But they are proud kwamba grievances zao zimefika panapo takiwa! Sema huu ni mtazamo! Evaluation haifanyiki kwa kuangalia tu na macho makubwa kama unachomelea gate. Shule mnaenda kujifunza ujinga au kuondoa ujinga?
Naona mnajitekenya na kucheka wenyeweWameshindwa kusoma alama za nyakati,hivi unadhani hawa machinga waliowapiga chini chadema hawa akili?
Wewe umeona, wahuni hawa wanatafuta option ya kurudi Dodoma(bungeni).. maisha matamu yale ya kula malaya wengi! Ndio akili zao wakiwa bungeniChadema kwisha habari yao.
Sababu hasa ya kususiwa maandamano ni wao kuungana na watesi wetu CCM.
Hawaaminiki, ni wahuni!
Ninakubaliana na wewe sana. Hiyo ni factor moja ambayo kulikuwa na factorial significance ya kuingiza wabunge wengi na kuukosa Urais. Why don't you at all visualize Magu's dirty politics towards opposition parties being also a significant factor? Laiti demokrasia ktk uchaguzi ingekuwepo na kusiwe na ununuzi wa Wabunge na uchaguzi 2020, hilo unalolisema kuhusu Lowasa lisingehold water.Dynamism yenye kusacrifice principles hiyo ni flip-flopping. Gain yake inaweza kuwa temporary ila adhabu yake kisiasa huwa ni kubwa sana!.
Nitakupa mfano, Chadema iligain Temporary kwa kumleta Lowasa ktk chama, ikapata viti vingi bungeni, ila kwa sababu ilisacrifice agenda yake ya ufisadi leo inapata adhabu kubwa ya kutoaminika kwa kusacrifice agenda ile. Na hata watu waliokuja na Lowasa alirudi nao CCM huku CHADEMA ikipoteza mtaji wake wa kuamini mbele ya umma kuwa kinapiga vita ufisadi.
Hebu Erythrocyte njoo huku ujieleze😎Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela Erythrocyte alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Nijuavyo mimi siasa maandamano yaliyofanyika usiku kwenye Guest house ni makubwa kuliko yake ya mchana tena M4C watu wa maji sanaa
PreGE2025 - Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale. Zaidi ya Mabasi 100...www.jamiiforums.com
Haki ya kikatiba unataka kuwapangia tena...... Pale UN hebu sema wanampelekea nani wakati ujumbe ni wa serikali...Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwanini viongozi wasingeenda UN na gari moja tu.
Kama bado unashabikia CCM wewe ni wale majinga jingaHili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema
1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema
2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu
3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015
4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko
Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Pelekeni maandamano uchwara kule Arusha na Moshi,hapa dar tumewakataaaaaNaona mnajitekenya na kucheka wenyewe
Kama wewe ni mfuasi wa chadema huna tofauti na wale kenge wa bahariniKama bado unashabikia CCM wewe ni wale majinga jinga
Wafuasi wa cdm wanadanganywa na fedhuli la kisiasa aisee ,eti mabadiliko ya katibu tumewasilisha ofisi za UN na walivyo majinga ikashangiliaHaki ya kikatiba unataka kuwapangia tena...... Pale UN hebu sema wanampelekea nani wakati ujumbe ni wa serikali...
Mama hasira za niniKama wewe ni mfuasi wa chadema huna tofauti na wale kenge wa baharini