MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,048
- 1,102
- Thread starter
- #21
Hata mimi mkuu watu wa aina hiyo huwa wananiacha hoi sana. Sijui ni ufinyu wa mawazo au wamezoeshwa vibaya na CCM?Mimi huwa nasikitika sana kuona Watanzania wenzangu hawaelewi kabisa viongozi wao wanatakiwa kuwajibika kwa lipi. Kama mtu bado haelewi kwamba ubovu wa barabara ni kushindwa kwa mbunge, tumekwisha. Kama barabara ni mbovu mbunge anawajibika moja kwa moja maana ameshindwa kuisimamia serikali kujenga hiyo barabara. Huyo anafikiri kazi ya mbunge ni kugawa kanga, kofia na Tsh 5000. TUBADILIKE JAMANI