Mkuu vipi BRN sasa ipo wapi?
..nadhani itafutwa kama njia ya kubana matumizi.
Mkuu vipi BRN sasa ipo wapi?
Haha wazee wa kurukaruka na akili za kuhama hama!!!!..nadhani itafutwa kama njia ya kubana matumizi.
Na kweli imekua hivyoHii project iko stranded mida hii, 0ct 2015 inakufa rasmi. DR ataiscrap the first thing in office.