Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

BRN ni ishu ambayo imeishia kubandikwa matangazo kwenye milango ya ofisi za wizara, vitengo, secretariat za mikoa na Halmashauri, mana ni porojo tu
 
BRN ni ishu ambayo imeishia kubandikwa matangazo kwenye milango ya ofisi za wizara, vitengo, secretariat za mikoa na Halmashauri, mana ni porojo tu

..then tatizo liko kwa watendaji wa serikali na sisi wananchi.

..mimi nimeona kama vile BRN ni mpango mzuri unaoweza kutusaidia.

..Malaysia wameshaujaribu na ukawapa matokeo mazuri.

..wa-Tz tunatakiwa tuangalie ni jinsi gani mpango huo unaweza kufanya kazi ktk mazingira yetu.
 
..then tatizo liko kwa watendaji wa serikali na sisi wananchi.

..mimi nimeona kama vile BRN ni mpango mzuri unaoweza kutusaidia.

..Malaysia wameshaujaribu na ukawapa matokeo mazuri.
..wa-Tz tunatakiwa tuangalie ni jinsi gani mpango huo unaweza kufanya kazi ktk mazingira yetu.
ndugu ya ngu nakubaliana na wewe kwa 100%,
mimi ni mmoja wa wasimamizi wa mpango huu pale ofisini
tatizo kubwa mpango huu tumecopy na kupaste bila kuangalia
Critical Success factor analysis, am taking you to strategic mgt sasa,
mipango iliyoandaliwa ni mizuri sana na imebaki kwenye maandishi TATIZO KUBWA RESOURCES HAKUNA NA TUNALAZIMISHWA KUANDAA HIVYO HIVYO,

kibaya zaidi tuanaanza kuongopa sasa, kama vile kuongeza grade za ufaulu bila sababu za msingi
ushahidi angalia matokeo ya form two ya sasa utaamini.

Tunaliangamiza taifa kwaajili ya uchaguzi wa mwaka 2015, inatia uchungu sana
sijui tunazalisha kizazi gani

 
Hii BRN haiwezi kufanya kazi wakati the ntire SYSTEM IS BROKEN


Omari issa anaongea kama vile mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa University yuko too IDEALISTIC

mleta mada anasahau kuwa huwezi kupata TRANSPARENCY kama SYSTEM haitaki hayo mambo ya transparency

namwonea huruma huyu Mkurya
 
Unaanzishwa mpango lkn utekelezaji wa bajeti hata robo ya bajeti haifikiwi means hakuna hela zote wamefisadi mipango karibia yote ndan ya halmashauri haitelezeki kwasababu ya kukosa fedha hiyo BRN ni viini macho tu hakuna jipya hapo tutakalopata wa tz that is a shame
 
Pasco njoo tunakuhitaji kwenye huu uzi[/QUOTE

BRN ni wizi mwingine kama ilivyo Kilimo Kwanza, Mkukuta, Mkurabita, n.k.
Hata huwa nawashangaa wanaoitwa kutoka nje na kuja kujidhalilisha huku nchini kwa kufanyakazi na manyan'gau na wezi kama Serikali hii yetu. Hivi huwa hatufanyi tathmini ya miradi iliyopita ndipo tuanze mingine?
Ninachokiona ni ulaji wa pesa tu inayoelea, wajanja hutengeneza tafiti za kihuni na kumuuzia Mkuu wetu naye huidhinisha hiyo miradi akijua au akidhani itakuwa na tija kumbe ni wizi na ujanja ujanja tu wa kujichotea kodi za watanzania.
Oneni aibu nyie wasomi mnaotumika kuwadhulumu wananchi wenzenu kwa udanganyifu huu.
Angalieni wasomi kama akina Muhongo pasi na kujua au kwa kutegemea kuwa watakuja kuchukua ujiko wanakubali kurudi nyumbani na kutumika kama vile halafu wanadhalilishwa. Msururu ni mrefu akiwemo Tido Mhando, akina Balali - masikini sijui alikufa kweli au ndo kanyimwa uhuru wa kutanua kwenye kona fulani ya dunia hii.
Kwanini msomi ukubali kutumika kwa viongozi wa nchi hii wasio na vision wala dhamira ya kujijengea heshima vizazi na vizazi badala yake wanatafuta kujilimbikizia mali ya dhuluma ambayo hawataondoka nayo kwenda tuendako baada ya kufa.
 
BNR ni deal kama deal zingine tulizozoea kuziona na kuzisikia. Kiko wapi kilimo kwanza? nk.
 
Hii kazi huyu jamaa sielewi kwa nini aliikubali bla kuitathmini

Ishaingia kwenye doa la CV yake
 
Alikuwa ITV asubuhi ya leo! Mchekini kwa ITV youtube maana huwa wanasema wanapatikana kwa youtube, pia nasikia watu wa BRN watakuwa Mlimani City wakieleza mafanikio yao ambayo huyu jamaa alikuwa anataabika kutuelezea! jamaa anaulizwa maswali ya kawaida kama "tofauti ya mikakati yenu na ya wizarani nini? Kwenye kipaumbele kuhusu elimu mmeweka shule ziwe na maabara, sasa inakuaje maabara iwe kipaumbele wakati hamna madawati na mwalimu hajalipwa mishahara yake! hayo ni machache niliyoyasikia! Duh, nilifikiri kuuza vipande ni ngumu mpaka nilipomsikiliza huyu jamaa aisee! Ngoja nimuhurumie, labda Rainfred Masako alikuwa amempania!
 
B_9FvmQUwAAZaPz.jpg:large
 
..nimemsikiliza mtendaji mkuu wa BRN bwana Omari Issa.

..nakubaliana na mtizamo wake kuhusu utendaji ktk ngazi mbalimbali za serikali.

..nadhani tukiwa disciplined na kuipa muda BRN inaweza kutuletea matokeo mazuri.

..wasiwasi wangu ni kwamba tukikwama tutaanzisha kitu kingine kipya kufanya yaleyale tunayoyafanya ktk BRN.

..kama alivyosema Omari Issa: "be on time, no speech, do it, no exceptions."

..bonyeza hapo kwenye link kusikiliza interview yake.



EMT, Tokyo40, Kimweri, Kibona, Sangarara, msemakweli


Mkuu vipi BRN sasa ipo wapi?
 
..nimemsikiliza mtendaji mkuu wa BRN bwana Omari Issa.

..nakubaliana na mtizamo wake kuhusu utendaji ktk ngazi mbalimbali za serikali.

..nadhani tukiwa disciplined na kuipa muda BRN inaweza kutuletea matokeo mazuri.

..wasiwasi wangu ni kwamba tukikwama tutaanzisha kitu kingine kipya kufanya yaleyale tunayoyafanya ktk BRN.

..kama alivyosema Omari Issa: "be on time, no speech, do it, no exceptions."

..bonyeza hapo kwenye link kusikiliza interview yake.



EMT, Tokyo40, Kimweri, Kibona, Sangarara, msemakweli


Mkuu vipi BRN sasa ipo wapi?
 
BRN itaondoka na JK hata watu wa planning commission wapo confused wanwanashindwa kumface mkuu wamebaki kucompile report kutoka MDAs bila hata kuwa critical kwa vitu ambavyo vipo very obvious.unasema eetikiwango cha ufaulu kimepanda kweli?

I am afraid huu utabiri wako ulikuwa sahihi mkuu!

Kiukweli while JK alikuwa na yake mazuri lakini sidhani kama HE was prepared to lead/be a leader of a poor people and resource rich nation like Tanzania.
 
Kuna tatizo kubwa sana kuhusu huu mpango mzima wa BRN


1. Wanadai BRN inaendana na Tanzania Development Vision 2025 lakini ukiisoma hiyo vison 2025 iko shallow, as a matter of fact walioandika hii vision 2025 walikuwa na upeo mdogo sana kama hiyo document yenyewe (hapa nazungumzia akina MWAPACHU na wezake)

2. Review ya TDV 2025 iliyofanyika 2010 ilikusanya watu wenye mitazamo finyu na mifupi na wakarudi kudai kuwa hiyo TDV 2025 iko VALID!!!!!!!

3. Long Term Perspective (LTP) nayo ukiisoma iko too vague kwa sababu ina endorse huo utumbo uliopo kwenye TDV na review yake

4. BRN haiwezi na haitoweza kuwa kama PEMANDU ya Malaysia kwa sababu wenzao walikuwa detailed na walikuwa transparent kwenye kufanya mambo yao hawa BRN sioni kitu hata hiyo the so called LAB METHODOLOGY waliyotaka kuiiga imekwama.


Nategemea wengine watachangia lakini kwangu naona tunapotezeana muda tuu
Mi nafikiri kumaanisha (commitment) ndiyo suala la msingi ambalo tunakosa, being detailed comes next. Kama wangekuwa kweli wanamaanisha wangeona kuna uhitaji wa watu makini.
 
Back
Top Bottom