Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

Omari Issa haamini aliyoyakuta na kuyaona Serikalini. Umuuliza kama kuna watu wasio na vichwa/ubongo atajibu bila hofu NDIYO. Na atakueleza kuwa watu hao sio wa ajabu amefanya nao kazi na mikutano kila wakati. Uzuri ni kwamba Wanavaa suti nzuri za bei mbaya na kupanda magari ya bei mbaya.

Those are legit questions. And you would expect Watu Kama hao wenye exposure wangetusaidia kujenga mising ya accountability. Again unaona Watu hapa wanakuja na kusingizia system. Now you wonder hiyo system ina Watu gani..zaidi ya hawa hawa.....

hopefully na yeye anapita humu...
 
kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya

Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara

Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango

I'm out

RIP JAMIIFORUMS
 
Kwanza ungeanza kutathmini performance ya bosi wake huyo Omari Issa kabla hujarukia wachangiaji wa JF

B5hk9QjIQAAp-tK.jpg
 
1) Mkukuta
2) Mkurabita
3) tasaf 1&2
4)Mapesa ya Jk
5) Maisha bora kwa kila mtanzania
6)Kasi zaidi ari mpya etc
7) Kilimo kwanza
Na sasa BRN,

Tulisha wahi pata mrejesho wa hizo program nyingine? Miaka 10 program 8? Tuna akili sisi kuliko hao wayahudi.

Only in Tanzania kama Tanzanite

T
 
kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya

Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara

Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango

I'm out

RIP JAMIIFORUMS

East-Africa-Gado-cartoon-on-Tz-form-4-results.jpg
 
Mkuu umenigusa sana. Nilikuwa nafanya mapping tu ya kujua hii BRN na Vision 2025 vina relate vipi kwa ajili ya project yangu. Search yangu kwenye internet sikupata hata document moja ya BRN zaidi ya hizo key areas wanazo target. Hata Website ya kutoa information Hakuna....Wanafanya kazi wamejifungia huko maofisi na data wanakalia...sijui for who's interest. Ni kama ka private agency vile.

Nadhani nchi hii inahitajia new waves, new blood, new thinkers kwenye strategic positions. Tusitegemee kuwatumia watu wale wale wakitumia methodology zile zile tukiwa na hope ya kupata different results....
 
Unajua saa zingine japo wanamchukia January Makamba lakini naamini vijana kama yeye wakipewa nafasi wataleta team mpya yenye mawazo na damu mpya

Huu mzao wa akina JK umeshindwa ku connect na dunia ya kileo ya accountability
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Akili za hawa watu bado ziko too analogy, hata katikati ya analogy na digital hawajafika. Bado wanafikiri kuficha ficha information ndo ujanja....Na hii pia inachangiwa na nilichosema hapo juu....wanatumia methodology za kizamani kupata results mpya....Hiki kizazi kipite tu jamani, kinatuharibia nchi.....😡
 
Hivi huyu Omari Issa alikuwa hana wapambe wa kumfanyia research hicho cheo kujua kama its worth his time and intellect kudeal na majitu na system iliyokuwa broken?
 
Hivi huyu Omari Issa alikuwa hana wapambe wa kumfanyia research hicho cheo kujua kama its worth his time and intellect kudeal na majitu na system iliyokuwa broken?

Wakati mwingine tunaweza singizia system mbovu kumbe huyo Omari Issa ndio broken. Just thinking aloud.

Nb. Huyu jamaa ni mmoja wapo wa EHM wa TTCL...so sitegemei mtu mzawa aliyeshiriki kuuwa kampuni ya serikali akawa na kitu tofauti...
 
kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya

Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara

Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango

I'm out

RIP JAMIIFORUMS

Zamani ilokuwa JF sio hii, siku hizi buku 7 TEAM + LOWASA TEAM + UKAWA TEAM AND SO ON.......
 
kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya

Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara

Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango

I'm out

RIP JAMIIFORUMS
Mkuu Inconvenient Truths, you have my sympathies. Kusema kweli mpango wa watetezi wa staus quo umefanikiwa kwa kiasi kikubwa na cha kutisha. Kwamba JF bado ipo na inaendelea kuwepo ndilo jambo linalolotakiwa likushangaze zaidi...naam ingawa linaendelea kuwepo lakini hadhi ndio kama hivyo unavyoshuhudia na FYI hilo ndilo lilikuwa lengo lao hao hao unaotaka wakupe majibu. Yawezekana wewe ni mgeni humu, lakini wapo watu wamepanga/wamepangwa kuharibu mada kama hizi na hizo fitina zao ndizo kwa kiwango fulani zinawakatisha watu tamaa.

Wengine tumeanza kulalamika toka mwaka 2011 kwa kuonya na kuwataka mods wafanye kazi yao kama zamani lakini wapi...could they have been compromised too? Utakuta page nzima imehatamiwa na mchangiaji moja kwa post hata tano za mtu huyo huyo moja kwa kisentensi kimoja kila post. La pili, mods wameruhusu watu kufungua IDs hadi kumi mtu moja mpaka wapo watu wanajijibu wenyewe...mods kimyaaaa!! Samahani kwa kuenda nje ya mada lakini that is the inconvenient truth na ukweli lazima usemwe...kwa sasa JF yetu ni sawa na kokoro.
 
Sasa mmoja kati ya mawaziri wa brn naye kaachia ngazi

the ship is sinking
 
..nimemsikiliza mtendaji mkuu wa BRN bwana Omari Issa.

..nakubaliana na mtizamo wake kuhusu utendaji ktk ngazi mbalimbali za serikali.

..nadhani tukiwa disciplined na kuipa muda BRN inaweza kutuletea matokeo mazuri.

..wasiwasi wangu ni kwamba tukikwama tutaanzisha kitu kingine kipya kufanya yaleyale tunayoyafanya ktk BRN.

..kama alivyosema Omari Issa: "be on time, no speech, do it, no exceptions."

..bonyeza hapo kwenye link kusikiliza interview yake.

https://www.youtube.com/watch?v=P5_1qBzuIC4

EMT, Tokyo40, Kimweri, Kibona, Sangarara, msemakweli
 
Chademakwanza,

..brn siyo lazima iwe serikalini tu.

..hata ndani ya CDM na nyinyi mnaweza kuwa na mpango wenu wa BRN.

..BRN inahusisha kujiwekea malengo makubwa, kuyatekeleza kwa nguvu zote, na kupima mafanikio na matatizo mara kwa mara.

..Je, operation Sangara ilifanyiwa tathmini yoyote? Je, tamthmini hiyo ilifanyiwa kazi wakati wa operation M4C?
Pasco, Nguruvi3, Candid Scope, Molemo
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana nawe 100%. BRN hata katika family level ipo.
Kama ulivyosema, kila siku tunasikia majina mapya ya operesheni. Sasa hivi nasikia ni futa delete. Nashangaa hivi waliwahi kukaa lini na kufanya tahmini ya opereresheni zilizopita?

Kuionyeshea serikali vidole hakusaidiii, bali kuchukua mazuri na kuacha mabaya.
 
Monthly meetings, any way.

huyu Jamaa anafikiria kuongoza serikali ni kama kuongoza kampuni,
 
Huyu jamaa anasema they also work with private sector on issues which have not been resolved for years, ina maana kazi yao ingine ni udalali?
 
Back
Top Bottom