Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

Inconvenient Truths

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
439
Reaction score
354
3d6cOmari-Issa.jpg

Nimetafuta info kuhusu BRN sijapata. Huyu Omari Issa nilitegemea kwa kuwa alikuwa anafanya kazi na institution kubwa duniani angekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa BRN wanayo website ya kueleweka (ya kiswahili na english) yenye kuonyesha data zote kama vile:

1. About BRN

2. Board of Directors Profiles

3. Board Meeting Summaries/Meetings

4. Executive Profiles

5. Organisation Chart and job description of each department(Tunataka kujua BRN imeajiri watu wangapi)

6. Reports and Notifications na kwenye hili tunataka tuone yafuatayo toka BRN ianze:

a) Annual Reports
b) Performance & accountability
c) Budget justifications
d) Notifications
e) General Reports
f) Papers/Issue briefs

9. Pia tunataka kujua Projects selection criteria na kwenye hili tunatka tupewe info zifuatazo:

[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]a) Steps for project selection[/FONT]
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]b) Identification of Projects[/FONT]
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]c) Project selection criteria & methodology for project and public info on public input[/FONT]
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]c) Project score cards[/FONT]
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]d) Provinces and areas eli[/FONT][FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]gible[/FONT][FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif] for BRN project selection[/FONT].

10. Tunataka kujua selection indicators zinazotumiwa na BRN

11. Project score cards za BRN

12. BRN Projects and activities

13. BRN Project location

14. BRN (Results) kwenye hili Omari Issa tunataka atuonyeshe yafuatayo:

a) Policy Performance
b) Policy & Institutional Reform
c) Inputs
d) Outputs
e) Outcomes
f) Ultimate Outcomes
g) Feedback & Lesson learned

15. Tunataka kujua Monitoring and evaluation za BRN

16. Tunataka kujua BRN wanatumia indipendent Valuer yupi kutathmini hizi projects?

17. Quaterly Status Reports za BRN ziko wapi?

18. Successful Projects za BRN ni zipi?

19. Mbona hatuonyeshwi list of BRN procurements by that naamanisha:

a) Large
b) Small
c) Consultants

20. Compact procurements za BRN ni zipi?

21. Procurement Guidelines za BRN ni zipi?

22. Contracts zilizotolewa ni zipi na wamepewa akina nani ? Tunataka kujua who got what and how much was paid

23. Je BRN ime partner na Organisations/Corporations zipi?

24. So far How much has been allocated for BRN and from which sources

Kwa sasa maswali yangu ni hayo labda wengine watakuwa na maswali zaidi
 
Those are legit questions. And you would expect Watu Kama hao wenye exposure wangetusaidia kujenga mising ya accountability. Again unaona Watu hapa wanakuja na kusingizia system. Now you wonder hiyo system ina Watu gani..zaidi ya hawa hawa.....

hopefully na yeye anapita humu...
 
walichoweza ni kubandika tu mabango ya BRN kwenye ofisi za umma
 
Hakuna kakindi kaliko secret agenda kama ka BRN kwa sasa. Nadhani CCM wanampango wa kukatumia kama ka propagandist kake?
 
Those are legit questions. And you would expect Watu Kama hao wenye exposure wangetusaidia kujenga mising ya accountability. Again unaona Watu hapa wanakuja na kusingizia system. Now you wonder hiyo system ina Watu gani..zaidi ya hawa hawa.....

hopefully na yeye anapita humu...

BRN itaondoka na JK hata watu wa planning commission wapo confused wanwanashindwa kumface mkuu wamebaki kucompile report kutoka MDAs bila hata kuwa critical kwa vitu ambavyo vipo very obvious.unasema eetikiwango cha ufaulu kimepanda kweli?
 
Kuna tatizo kubwa sana kuhusu huu mpango mzima wa BRN

1. Wanadai BRN inaendana na Tanzania Development Vision 2025 lakini ukiisoma hiyo vison 2025 iko shallow, as a matter of fact walioandika hii vision 2025 walikuwa na upeo mdogo sana kama hiyo document yenyewe (hapa nazungumzia akina MWAPACHU na wezake)

2. Review ya TDV 2025 iliyofanyika 2010 ilikusanya watu wenye mitazamo finyu na mifupi na wakarudi kudai kuwa hiyo TDV 2025 iko VALID!!!!!!!

3. Long Term Perspective (LTP) nayo ukiisoma iko too vague kwa sababu ina endorse huo utumbo uliopo kwenye TDV na review yake

4. BRN haiwezi na haitoweza kuwa kama PEMANDU ya Malaysia kwa sababu wenzao walikuwa detailed na walikuwa transparent kwenye kufanya mambo yao hawa BRN sioni kitu hata hiyo the so called LAB METHODOLOGY waliyotaka kuiiga imekwama.

Nategemea wengine watachangia lakini kwangu naona tunapotezeana muda tuu
 
Sio kupotezeana muda, kuingizana hasara mkuu.
 
Kufanya kazi ni kikwete ni mtihani, sababu He is very short of perspectives.
 
3d6cOmari-Issa.jpg

Nimetafuta info kuhusu BRN sijapata. Huyu Omari Issa nilitegemea kwa kuwa alikuwa anafanya kazi na institution kubwa duniani angekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa BRN wanayo website ya kueleweka (ya kiswahili na english) yenye kuonyesha data zote kama vile:

1. About BRN

2. Board of Directors Profiles

3. Board Meeting Summaries/Meetings

4. Executive Profiles

5. Organisation Chart and job description of each department(Tunataka kujua BRN imeajiri watu wangapi)

6. Reports and Notifications na kwenye hili tunataka tuone yafuatayo toka BRN ianze:

a) Annual Reports
b) Performance & accountability
c) Budget justifications
d) Notifications
e) General Reports
f) Papers/Issue briefs

9. Pia tunataka kujua Projects selection criteria na kwenye hili tunatka tupewe info zifuatazo:

a) Steps for project selection
b) Identification of Projects
c) Project selection criteria & methodology for project and public info on public input
c) Project score cards
d) Provinces and areas eligible for BRN project selection.

10. Tunataka kujua selection indicators zinazotumiwa na BRN

11. Project score cards za BRN

12. BRN Projects and activities

13. BRN Project location

14. BRN (Results) kwenye hili Omari Issa tunataka atuonyeshe yafuatayo:

a) Policy Performance
b) Policy & Institutional Reform
c) Inputs
d) Outputs
e) Outcomes
f) Ultimate Outcomes
g) Feedback & Lesson learned

15. Tunataka kujua Monitoring and evaluation za BRN

16. Tunataka kujua BRN wanatumia indipendent Valuer yupi kutathmini hizi projects?

17. Quaterly Status Reports za BRN ziko wapi?

18. Successful Projects za BRN ni zipi?

19. Mbona hatuonyeshwi list of BRN procurements by that naamanisha:

a) Large
b) Small
c) Consultants

20. Compact procurements za BRN ni zipi?

21. Procurement Guidelines za BRN ni zipi?

22. Contracts zilizotolewa ni zipi na wamepewa akina nani ? Tunataka kujua who got what and how much was paid

23. Je BRN ime partner na Organisations/Corporations zipi?

24. So far How much has been allocated for BRN and from which sources

Kwa sasa maswali yangu ni hayo labda wengine takuwa na maswali zaidi

Nice QUESTIONS which needs CLEAR AND DETAILED ANSWERS. However I hope u will not receive any of the expected answers either from the SAID BRN TEAM nor to The Government,my memory raise alarm on the APPOINTMENT of the TREASURY CONTROLLER GENERAL, Mr. MAFURU formally was CEO of NBC b4 FIRED,to whom was one of the THE SAID BRN TEAM, WHAT DO WE EXPECT IN HIS NEW VERY SENIOR GOVERMENT POST IN OUR BELOVED MoF?
 
Omari Issa alikuwa ana control $3billion fund from World Bank ambazo chini yake pale ICFA kisha kaacja kwenda kushulikia BRN ambayo ni political pet project ya JK et al ambayo hata senti 5 haina.

mbaya zaidi aliongopewa kuwa atakuwa na excess ya $10 billion za ku spend...mind you waliokuwa wanamwambia hivyo $10million walikuwa hawana.

sasa reputation yake iko on the line, aliyemweka pale kabakisha 8months anaondoka, kazungukwa na team ya wazugaji pale BRN

No wonder Omari anazdo kuzeeka
 
Back
Top Bottom