Mnyakarama
Member
- Jul 11, 2015
- 11
- 3
Binafsi naomba kutofautiana nawewe ktk hoja zifuatazo: 1, 2010 chadema ilisimama peke yake na ikapata 26% lakin mwaka huu vyama zaid ya vi4 vmeungana, hii ina maana kuwa kama wangeunganisha nguvu wangepata zaid ya 30% 2. mwamko wa watu kipindi kile haukuwa mkubwa sana na cyo watu wengi waliopga kura. 3; dr.slaa alipambana na rais anayetetea kiti chake tofauti na sasa ambapo wote ni wapya. 4.katika kipnd hki cha miaka mi5 dr.slaa alikijenga chama kwa nguvu nyingi na machoz. na ndo ktka kipindi hk ambapo masakata mengi ya kifisadi yaliibuliwa hvyo kuwazdishia hasira wananchi kuapa kuitoa ccm madarakan kptia sanduku la kura. 5.CHADEMA inaungwa mkono sana na vijana ambapo wengi wao mwaka 201 hawakupga kura kwa sababu kwanza, mwamko wao ulikuwa mdogo, wengi walikuwa hawajafikisha umri wa kupga kura .6.kuna watu wengi ambao mara baada ya mpambanaji dhd ya ufisad ambalo ndo tatizo sugu tanzania dr.slaa kuondolewa, walikata tamaa kuipgia kura tena kwn waliona usanih kuungana na mtuhumiwa no.1