Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

Kwa tathmini yakinifu, mwaka 1995 upinzani uligawanyika sana na hukuwa na mipango yeyote ya maana. Hata hivyo upinzani ulipata kura za urais asilimia 40%. Mwaka 2010 upinzani pia ulikuwa dhaifu na hawakuwa wamejipanga vema. Hii kasi ya CHADEMA mnayoiona imeanza baada ya uchaguzi wa 2010.

Hata hivyo upinzani ulipata 40%. Je, kwa kazi yote iliyofanywa kujenga upinzani mashinani, muungano wa vyama na Lowassa factor, hawataweza kuzima pengo la kama 15%?

Mimi naona wataziba na hapo ndipo tathmini ya mtu kukaa mezani tu bila hata kwenda field itaonyesha wazi kuwa upinzani utashinda kwa kishindo.

Ila kwa Ubunge nina mashaka kama upinzani unaweza kupata 50%+ ya viti vya Ubunge.

Aisee Mbona Umetufikirisha mpaka ninatamani nipige kura hata leo. Hongera kwa post nzuri big up.
 
Endeleeni kujifariji kwa ndoto na mawazo ya kufikirika. Wenzenu wanatafuta ruzuku ili waendelee kuzipiga, nyingi mnashabikia tu.

Na wewe unazipiga kutoka mfuko wa nani? Yawezekana hata wewe ni mpigaji kuliko hata hao wa ruzuku
 
Naona sasa mmeamua kuhamishia huku tafitizenu za kununua
 
Attachments

  • 1438080034299.jpg
    1438080034299.jpg
    31.4 KB · Views: 334
Regina EL +Damian lubuva. Changeni karata ndo mtajua maajabu yatakayotoke october
 
Kumbuka safari hii huyo Zombie anaenda kusimama mbele ya Tingatinga!! AKA Earth Moving Equipment...Pichu lazima ziwabane
Kibaka ataishia kuwa rais wa Chadema
usijitoe ufahamu panda SAFINA (UKAWA )gharika linakuja utaachwa unalia
 
hapo kwenye ubunge ccm ndo wanahofu kama watapata 50% na sio upinzani

Na wakubugi kwenye kuteua wabunge wao ndiyo hata 45% ya wabunge wanaweza wasifikie kabisa! Kumbuka kura za UKAWA kwenye ubunge kuzichakachua ni kazi mno.
 
Hata shetani akitubu atasamehewa tu.Katika kupambana vita dhidi ya rushwa na ufisadi mpambanaji makini ni lazima atachafuka tu.Kwa kuondoka CCM kwa LOWASSA tutake tusitake ni PIGO TAKATIFU kwa CCM.Nina amini wakati utakapofika atawataja wote ambao aliwahifadhi kwa gharama ya kuokoa SERIKALI na CHAMA kwa kuwakingia kifua kwa gharama za Kujiuzuru Uwaziri Mkuu na kuonekana kana kwamba yeye ndiyo mwenye nembo ya UFISADI.
 
UKAWA haiwezi kushinda urais katika mazingira yaliyopo.

Tume ya uchaguzi ya CCM sidhani kama itaweza kumtangaza mgombea wao kuwa ndo mshindi.

Mark my words.

Mie sina shida na mshindi yeyote yule, bali niko na shida na integrity ya viongozi wa UKAWA so far.., 6 months ago wangeweza kupata kura yangu..., ila ninachokiona sasa hivi ni kuwa jamaa ni a bunch of opportunists,hawajajipanga, na wako radhi kubugia principles zao zote ili mradi tu wapate wanachokitaka.
Bavaria, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Kwa tathmini yakinifu, mwaka 1995 upinzani uligawanyika sana na hukuwa na mipango yeyote ya maana. Hata hivyo upinzani ulipata kura za urais asilimia 40%. Mwaka 2010 upinzani pia ulikuwa dhaifu na hawakuwa wamejipanga vema. Hii kasi ya CHADEMA mnayoiona imeanza baada ya uchaguzi wa 2010.

Hata hivyo upinzani ulipata 40%. Je, kwa kazi yote iliyofanywa kujenga upinzani mashinani, muungano wa vyama na Lowassa factor, hawataweza kuzima pengo la kama 15%?

Mimi naona wataziba na hapo ndipo tathmini ya mtu kukaa mezani tu bila hata kwenda field itaonyesha wazi kuwa upinzani utashinda kwa kishindo.

Ila kwa Ubunge nina mashaka kama upinzani unaweza kupata 50%+ ya viti vya Ubunge.

Nenda ukaoge, Lowasa hawezi pewa nchi, hata Kwa mtutu. Wewe subiri uone kitakachotokea. Hivi hamjifunzi Kwa Laira Odinga. Yaani wewew huwezi kuwa na uchu hivyo wa kwenda ikuli then system zikae tu zikuangalie. Note: Mimi ni CCM, ila kama lowassa angepitishwa na CCM ningemtosa ni mwizi. Ila sasa kura yangu ni Dr. Magufuli. Mbunge ukawa. Lowassa simpendi tu ni mwiziiiii
 
UKAWA haiwezi kushinda urais katika mazingira yaliyopo.

Tume ya uchaguzi ya CCM sidhani kama itaweza kumtangaza mgombea wao kuwa ndo mshindi.

Mark my words.

Hapa nina mawazo tofauti. Historia inatufundisha kuwa mchezo mchafu wa kuchakachua kura na/au kumtangaza aliyeshidwa kuwa ndiye mshindi haifanikiwi wakati wote. Na kama kuna wakati ambapo CCM italazimika kuheshimu sauti ya Watanzania ni katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
Magufuli yupo pande zipi ?? Lol

Strategic thinking is the new Talent.
 
Kwa tathmini yakinifu, mwaka 1995 upinzani uligawanyika sana na hukuwa na mipango yeyote ya maana. Hata hivyo upinzani ulipata kura za urais asilimia 40%. Mwaka 2010 upinzani pia ulikuwa dhaifu na hawakuwa wamejipanga vema. Hii kasi ya CHADEMA mnayoiona imeanza baada ya uchaguzi wa 2010.

Hata hivyo upinzani ulipata 40%. Je, kwa kazi yote iliyofanywa kujenga upinzani mashinani, muungano wa vyama na Lowassa factor, hawataweza kuzima pengo la kama 15%?

Mimi naona wataziba na hapo ndipo tathmini ya mtu kukaa mezani tu bila hata kwenda field itaonyesha wazi kuwa upinzani utashinda kwa kishindo.

Ila kwa Ubunge nina mashaka kama upinzani unaweza kupata 50%+ ya viti vya Ubunge.

akili yako inaendeshwa na jina lako....I-bange
 
Nenda ukaoge, Lowasa hawezi pewa nchi, hata Kwa mtutu. Wewe subiri uone kitakachotokea. Hivi hamjifunzi Kwa Laira Odinga. Yaani wewew huwezi kuwa na uchu hivyo wa kwenda ikuli then system zikae tu zikuangalie. Note: Mimi ni CCM, ila kama lowassa angepitishwa na CCM ningemtosa ni mwizi. Ila sasa kura yangu ni Dr. Magufuli. Mbunge ukawa. Lowassa simpendi tu ni mwiziiiii

ufikiri ndo umeishia hapo.! Soma nyakati ebo
 
UKAWA watashinda kwa asilimia 80%, kwa sababu huu ni wakati Firauni/CCM anasambaratishwa.

Kama Lowasa mwizi kwa nini hajafungwa kama Daniel Yona, Basil Mramba?

Nilishuhudia kwa macho yangu kamati ya ccm ikiimba "TUNA IMANI NA LOWASA" hata baada ya kukatwa jina kwa njia za kibabe, umafia, dhuluma, dhiaka, jeuri, husuda na majivuno makubwa Nape akitumika kutukana wazee.

Safari ya matumaini haikuwai kufa kwa sababu mpango wa Mungu watanzania hatuwezi kuwa na matumaini chini ya ccm.

Imani ya kamati ya ccm hata baada ya kukatwa jina la Lowasa, ni ishara pamoja na udhalimu lkn ili maneno ya manabii yatimie "hakika Lowasa ndiye"

Jiwe walilolikataa waashi
 
UKAWA haiwezi kushinda urais katika mazingira yaliyopo.

Tume ya uchaguzi ya CCM sidhani kama itaweza kumtangaza mgombea wao kuwa ndo mshindi.

Mark my words.
nakubaliana na wew mkuu.. ni wakati sasa wa team lowasa kupanga plan c ya kuingia ikulu. waende msituni.
 
Mie sina shida na mshindi yeyote yule, bali niko na shida na integrity ya viongozi wa UKAWA so far.., 6 months ago wangeweza kupata kura yangu..., ila ninachokiona sasa hivi ni kuwa jamaa ni a bunch of opportunists,hawajajipanga, na wako radhi kubugia principles zao zote ili mradi tu wapate wanachokitaka.
Bavaria, Nguruvi3

What about the integrity of the ballot? Do you care about it?
 
Back
Top Bottom