tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Anawasalimu matagaUzi wako hauna mtiririko mzuri wa mawazo, haieleweki unazungumzia nini.
Anawasalimu matagaUzi wako hauna mtiririko mzuri wa mawazo, haieleweki unazungumzia nini.
Umemaliza kaziAnawasalimu matagaView attachment 1723961
Uzi unaeleweka lakini ukiwa lumumba kijana wa buku 7 lazima ujitoe ufahamu ili uweze kuSurvive.Vinginevyo mkono hauendi kinywani!Uzi wako hauna mtiririko mzuri wa mawazo, haieleweki unazungumzia nini.
unamaanisha Nini?Naomba Israel afunge mahesabu!
Naomba Israel afunge mahesabu!
Huwezi kumdhalilisha Askofu Mwamakula ukabaki salamaNaomba Israel afunge mahesabu!
One monster die another one comesMwisho wa ubaya aibu.........
Na mwisho wa huu ukatili wote unaotokea nchini mwetu ni mwaka huu wa 2021
Mitano tenaWhat a load load of rubbish! These are scurrilous insinuations, halftruths, completely devoid of merit. Unaowaita "Vyombo vya Habari" ni watu sawa na wewe au mimi, Watanzania wenzetu, wengi wao ex-TANU Youth League, yaani ni sawa tu na Maaskofu. Usishangae ukiona wanachagua mchele wanaacha chuya. Hivi kweli Mtanzania kawaida, awe ni Askofu au Editor wa Daily News au Majira, atakubali atumike kumsaidia tundulissu au fatmakarume kusambaza matusi yao? Au aombe madhabahuni? Subutu!
If the Press don't report the dirt and scum ya Mabeberu na vikaragosi vyao wale wanaotusaliti, ni uzalendo si woga. Mbowe aliwatukana TBC hazalani siku ile, akawafokea akawafukuza Uwanja wa Taifa, unakumbuka? Kesho yake Vyombo vyako vya habari, VYOTE (kupitia Jukwaa la Wahariri), wakaja juu, vikagoma, walimwita wakamuonya, kesho yake (akiwa Mbeya na Sugu kama sikosei) ikabidi ang'ate matapishi yake in pubric. Uliona kura za Sugu?
Hayo ndiyo mazao ya mgombeaxwenu tundulissu, elewa kuwa people arevtotall6 fed up, y amewafikavhapa. Umemsikia tundulissu anamuombea kifo rais? Walishindwa kura vibaya, ndiyo maana huwasikii wakilalama, au kwenda mahakamani. They knew ut! They expected it. Dr Slaa got 40% bila matusi wala majigambo ya Amsterdam? TANU Youth League iko hadi Kipalapala na Makumira mpaka leo hii.
Wacha habari hizi ni ngojera za watoto hazina mshiko.
Mitano tena kwa JPMInaitwa vicious cycle, utazunguka weeeh lkn mwisho wa siku utarudi palepale.
View attachment 1723951
Mitano tenaWewe na ukoo wako wote ni misukule
Umeishia darasa la ngapi ? tuanzie hapo kwanzaUzi wako hauna mtiririko mzuri wa mawazo, haieleweki unazungumzia nini.
Wadanganye wajingaNchi ambayo zaidi ya 90% ya vyombo vya habari vinamilikiwa na watu binafsi, Mashirika na Taasisi, ni upotoshaji kusema habari zinafichwa. Isitoshe Tanzania hakuna "lockdown" hivyo taarifa zinasambazwa haraka.
Ulikoegemea kulishindwa uchaguzi mkuu na kadri mnavyoshabikia udaku ndivyo jamii inavyowatambua na kuwatenga