Tathimini: Siku 10 za kampeni ya Dr. John Magufuli

Tathimini: Siku 10 za kampeni ya Dr. John Magufuli

anakubalika 85 % chimwaga 60% chamwino 25% lumumba izo gap zilizobaki ni za lowasa hizo ni za ccm ukija kwa wananchi lowasa ni 92.5% ukijumlisha na za ccm ni 98%



iliza kilichomkuta kigoma?????????????
 
Hongera sana CCM na Hongera Dr Magufuli, Mungu wetu akulinde Mh. Dr. Rais wetu

Ni raha sana kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe lakini kwenue vikao vyenu vya ndani mpeane repoti ya kweli kwamba Magufuri achaguligi na amefunikwa mno na Lowasa.

Mkiambiana ukweli ulivyo itawasaidia angalau kutafuta mbinu za kumuuza upya makufuri ili angalau apate hata 24%
 
TandaleOne hivi mbona mikutano yenu yote huwa mnahutubia wanachama wenu tu au wale mlio wapa Tshrt na kanga na madela...Haiwezekani mkavuta watu wengine wasio wanachama wenu mkawapa sera.

Hapa kazi tu, Maigizo peleka upande wa pili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom