Msal
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 218
- 67
Kuna baadhi ya watu humu JF, wanaweza kusema hizi post ni za watu fulani ambao wanashabikia CCM lakini, huo ndiyo ukweli, utafiti huu hauhitaji wataalamu wa tafiti, ila kwa kutizama tu tunajua kinachoendelea, mpaka sasa ndugu zangu wa UKAWA kampeni zao sizielewi, mpaka imani nao inazidi kupungua kila baada ya siku