Ukiweka hilo gazeti watasema, ni la CCM wape statistics za utafiti wa kisomi kama hiziEti utafiti unafanywa na UVCCM
View attachment 283847View attachment 283846
Ukiweka hilo gazeti watasema, ni la CCM wape statistics za utafiti wa kisomi kama hiziEti utafiti unafanywa na UVCCM
waswahili husema "maneno kuntu" kashfa alizokua nazo mpinzni mkubwa wa dr magufuli hazipendezi machoni mwa watu wanao weza kupambanua juu ya sifa za kiongozi bora, hicho ni kigezo tosha juu ya yupi anaeyefaa kuongoza tanzania yetu.
Umeanza vibaya lakini umemaliza vizuri...Usikate tamaaa.Sina shaka kabisa na magufuli huyu brother ni mchapa kazi sana naongea hvi kwasababu nmefanya naye kaz baadhi ya maeneo.
Kwasasa nadiliki kusema ccm inaenda mlama na naumia sana moyon mwangu kwasababu nchi hii inahitaji mtu mchapa kaz kama magufuli lakn ccm inaweza kutukosesha kiongoz shupavu kama Magufuli.
Lawama zote nakuangushia ww Mzee kikwete, kikwete uliamin uswahiba kazn hukuangalia utendaji, uliendekeza upole kazn hukujaribu kumfokea mtu mwovu.
Lowasa kweli alikumbwa na kashfa lakn kuna makashfa mangapi yametokea kwenye uongoz wako na wahusika wote wanakula maisha mitaan?
Chama chako mzee Kikwete kimekumbatia mafisadi nguli kama Andrew chenge, Rostam azizi, karamagi yote haya ni mafisadi papa yaliyo ndan ya ccm na chama kimeshindwa kuyachukulia hatua yoyote sasa unataka kutuambia lowasa ni mchafu kuliko haya majitu yaliyo ndan ya ccm?
Mm nakubali kabisa ccm imezidiwa nguvu najiona taratiibu naanza kusombwa na mafuriko.
Mm naamin lowasa sio msafi lakn hata ccm nao sio wasafi sasa kama wote ni wachafu bora tukubali matokeo tu.
Jaman mafuriko yamenizidi nguvu naanza kusombwa.
Lakn yote kwa yote tumwachie mwenyez Mungu atuwekee mtu anayefaa madarakan. Sisi hatujui lolote bali tunaongozwa na mapenzi yetu lakn Mungu naamini ww ndio unawajua hawa viongoz wawili kwamba ni yupi anaongea kwa kutoka ndan ya moyo na ni yupi anaongea kinafki. Mungu Watz twahitaji uwepo wako.
Umeanza vibaya lakini umemaliza vizuri...Usikate tamaaa.
'..Rais wa Tanzania anaweza kutoka nchi yeyote, lakini Rais bora atatoka CCM.." By Mwalimu Nyerere.
Tanzania yetu iko Salama ndani ya mikono ya Magufuli. USHINDI ni LAZIMA
Eti utafiti unafanywa na UVCCM