Taswira ya Sembe TZ

Yaani Serikali inatumia Ngalawa kuwafukuza
Wauza Unga ambao wao wanatumia Boti.

Hatari sana ni kama unga umeshindikana
kudhibitiwa hapa Nchini!
 
Yaani Serikali inatumia Ngalawa kuwafukuza
Wauza Unga ambao wao wanatumia Boti.

Hatari sana ni kama unga umeshindikana
kudhibitiwa hapa Nchini!

Hawafukuzwi mkuu wanasindikizwa tuu mdogomdogo kuwahakikishia usalama wao na lijisembe lao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…