Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Aug 28, 2013 #2 du kweli kazi hipo
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,997 Reaction score 77,304 Aug 28, 2013 #3 Yaani Serikali inatumia Ngalawa kuwafukuza Wauza Unga ambao wao wanatumia Boti. Hatari sana ni kama unga umeshindikana kudhibitiwa hapa Nchini!
Yaani Serikali inatumia Ngalawa kuwafukuza Wauza Unga ambao wao wanatumia Boti. Hatari sana ni kama unga umeshindikana kudhibitiwa hapa Nchini!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 29, 2013 #4 Kweli bhana....
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 29, 2013 #5 kbm said: Click to expand... hahahaaaaaaa,ningekuwa kwenye hiki kitengo kwa hali hii ningeomba likizo bila malipo.
kbm said: Click to expand... hahahaaaaaaa,ningekuwa kwenye hiki kitengo kwa hali hii ningeomba likizo bila malipo.
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Aug 29, 2013 #6 Kennedy said: Yaani Serikali inatumia Ngalawa kuwafukuza Wauza Unga ambao wao wanatumia Boti. Hatari sana ni kama unga umeshindikana kudhibitiwa hapa Nchini! Click to expand... Hawafukuzwi mkuu wanasindikizwa tuu mdogomdogo kuwahakikishia usalama wao na lijisembe lao!
Kennedy said: Yaani Serikali inatumia Ngalawa kuwafukuza Wauza Unga ambao wao wanatumia Boti. Hatari sana ni kama unga umeshindikana kudhibitiwa hapa Nchini! Click to expand... Hawafukuzwi mkuu wanasindikizwa tuu mdogomdogo kuwahakikishia usalama wao na lijisembe lao!
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Aug 29, 2013 #7 mbona mi sion kitu jamani!!!!!!!!1