Taswira ya mwanamke wa kawaida inapotezwa huku slay queens wakiwa idolized

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Mabinti zetu hawawi inspired tena na shangazi zao.

Mabinti zetu tena hawawi inspired na waalimu wao wa kike maaashuleni.

Ila kwa sasa inspiration na influence zao zinatoka kwenye social networks na media.

Ile aina ya mwanamke tulieizoea na kuiona kwa mama zetu kwa sasa inadharaulika na kuonekana ya kiboya.

Umalaya umekuwa branded, kukaa nusu uchi kumekuwa normalized, lifestyle ya ufuska na kudatisha wanaume kama njia ya kufikia mafanikio imekuwa prioritized.

Na sisi wanaume tunaendelea ku-glorify yale tunayaona kwa mabinti hawa alafu ukishaoa ukikutana nayo ambayo haukutarajia unarudi hapa JF kulalamikia kuhusu wanawake.

Sasa hivi kila binti ana aspire kuwa a professional ho. Makalio yamekuwa fashion na nusu uchi imekuwa heshima.

Mabinti wamejawa viburi na dharau. Mabinti sasa have nothing to lose kwa maana hauwez mbabaisha coz anajijua yeye ni mrembo na slay.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
c9e18de8b6ec365aaa8d804e28edc99b.jpg
31f534c9ebd73ba5cb0483f6879e1361.jpg
 
sasa hii picha ya chini ndo slayqueen au generated image
fanya kutupia mfano wa slayquen mmoja mwenye mtako.itapendeza zaidi🙏
 
Back
Top Bottom