Wewe Baba mwenye gari nyeusi umenipita hapa stendi ya posta Mwanza, jiheshimu sana

vugwe

Senior Member
Dec 18, 2020
113
296
Wewe mzee usiejiheshimu wala kuheshimu mabinti zako jiheshimu na uwe na akili.

Umepita hapa kona ya Lumumba karibu na stendi ya posta Mwanza mjini na kigari chako cheusi ulikua unaenda uelekeo wa my hotel, ndani ya gari mlikuemo watu wawili halafu nyote ni wazee wa miaka 60+

Yaani wewe baba unasimamisha binti yako kabisa hapa kwenye kona kumuomba namba za simu mbele yangu? Hivi we mzee hujaoa au unataka maradhi yako uyaamishie kwa huyu binti??

Mzee umekosa hata wakubwa wenzako unakuja kwa binti wa sekondari?

Mzee huna akili kabisa tulia na mke wako hao mabinti uliowaomba namba kwamba na wewe mtu mzima kabisa unaenda kuwavulia boxa? siku za ujana wako ulikua wapi pumbav unaenda kuharibu watoto wa sekondari?

Wazee mjiheshimu wenye tabia kama hizi.

Halafu na nyie wazazi mnaowaacha mabinti zenu wanafunzi wanazunguka mijini wamevaa suruali zimechora mpaka matako nyie nao wazazi hamna akili sawasawa mtoto wa kike anatoka ndani amevaa nusu uchi na wewe unamchekea tu una akili.

Haya sasa mzazi gulani ambaye binti ako alikua amevaa blauzia ya pinki na suruali ya kubana jiandae krismas anaenda kuliwa bila mate na mzee wa miaka 60+ mwenye gari nyeusi, mbaya zaidi wazee wa dizain hii wanakuaga washaungua hawana cha kupoteza.

Pia natoa rai wanaume wenzangu ukimuona mwanaume mwenzako anamfatilia labda binti umuheshimu sio na wewe unajichanganya kumuharibia mwenzako kisa tu eti una gari inakua haipendezi kwakweli!

Halafu na hawa mabinti zetu sikuizi akili hawana kabisa yaani binti wa miaka chini ya 20 unasimama kumpa namba mzee wa miaka 60 tena bila uoga hizo namba si afadhali ungenipa tu hata mimi niliekua kwa nyuma yako nimevaa tishert ya bluu ya Puma na kadet la kijan hapo pembeni ya hawa vijana waliokua wanauza mipira.

Kwakweli dunia imeisha.
 
Wewe mzee usiejiheshimu wala kuheshimu mabinti zako jiheshimu nabuwe na akili,

umepita hapa kona ya Lumumba karibu na stendi ya posta mwanza mjini na kigari chako cheusi ulikua unaenda uelekeo wa my hotel, ndani ya gari mlikuemo watu wawili halafu nyote ni wazee wa miaka 60+

yaani wewe baba unasimamisha binti yako kabisa hapa kwenye kona kumuomba namba za simu mbele yangu? hivi we mzee hujaoa au unataka maradhi yako uyaamishie kwa huyu binti??

mzee umekosa hata wakubwa wenzako unakuja kwa binti wa sekondari?

mzee hunaa akili kabisa tulia na mke wako hao mabinti uliowaomba namba kwamba na wewe mtu mzima kabisa unaenda kiwavulia boxa? siku za ujana wako ulikua wapi pumbav unaenda kuharibu watoto wa sekondari?

wazee mjiheshimu wenye tabia kama hizi

halafu na nyie wazazi mnaowaacha mabinti zenu wanafunzi wanazunguka mijini wamevaa suruali zimechora mpaka matako nyie nao wazazi hamna akili sawasawa mtoto wa kike anatoka ndani amevaa nusu uchi na wewe unamchekea tu una akili,

haya sasa mzazi gulani ambaye binti ako alikua amevaa blauzia ya pinki na suruali ya kubana jiandae krismas anaenda kuliwa bila mate na mzee wa miaka 60+ mwenye gari nyeusi, mbaya zaidi wazee wa dizain hii wanakuaga washaungua hawana cha kupoteza

halafu na hawa mabinti zetu sikuizi akili hawana kabisa yaani binti wa miaka chini ya 20 unasimama kumpa namba mzee wa miaka 60 tena bila uoga hizo namba si afadhali ungenipa tu hata mimi niliekua kwa nyuma yako hapo pembeni ya hawa vijana waliokua wanauza mipira

kwakweli dunia imeisha
Unoko haufai msimu wa sikukuu
 
Sijaelewa lengo la mtoa mada, kwani mzee kuchukua namba ndio tayari kashamla?, vipi kama ana jambo nae lingne, na vipi huenda ni mtoto wa ndugu yake walipotezana muda so kaamua achukue namba ya mzazi wa huyo binti?(watoto wengi wanajua namba za wazazi wao)
 
Wewe mzee usiejiheshimu wala kuheshimu mabinti zako jiheshimu nabuwe na akili,

umepita hapa kona ya Lumumba karibu na stendi ya posta mwanza mjini na kigari chako cheusi ulikua unaenda uelekeo wa my hotel, ndani ya gari mlikuemo watu wawili halafu nyote ni wazee wa miaka 60+

yaani wewe baba unasimamisha binti yako kabisa hapa kwenye kona kumuomba namba za simu mbele yangu? hivi we mzee hujaoa au unataka maradhi yako uyaamishie kwa huyu binti??

mzee umekosa hata wakubwa wenzako unakuja kwa binti wa sekondari?

mzee hunaa akili kabisa tulia na mke wako hao mabinti uliowaomba namba kwamba na wewe mtu mzima kabisa unaenda kiwavulia boxa? siku za ujana wako ulikua wapi pumbav unaenda kuharibu watoto wa sekondari?

wazee mjiheshimu wenye tabia kama hizi

halafu na nyie wazazi mnaowaacha mabinti zenu wanafunzi wanazunguka mijini wamevaa suruali zimechora mpaka matako nyie nao wazazi hamna akili sawasawa mtoto wa kike anatoka ndani amevaa nusu uchi na wewe unamchekea tu una akili,

haya sasa mzazi gulani ambaye binti ako alikua amevaa blauzia ya pinki na suruali ya kubana jiandae krismas anaenda kuliwa bila mate na mzee wa miaka 60+ mwenye gari nyeusi, mbaya zaidi wazee wa dizain hii wanakuaga washaungua hawana cha kupoteza

pia natoa rai wanaume wenzangu ukimuona mwanaume mwenzako anamfatilia labda binti umuheshimu sio na wewe unajichanganya kumuharibia mwenzako kisa tu eti una gari inakua haipendezi kwakweli!

halafu na hawa mabinti zetu sikuizi akili hawana kabisa yaani binti wa miaka chini ya 20 unasimama kumpa namba mzee wa miaka 60 tena bila uoga hizo namba si afadhali ungenipa tu hata mimi niliekua kwa nyuma yako nimevaa tishert ya bluu ya Puma na kadet la kijan hapo pembeni ya hawa vijana waliokua wanauza mipira

kwakweli dunia imeisha
 
Attachments

  • VID-20201216-WA0000.mp4
    1.4 MB
Sijaelewa lengo la mtoa mada,kwan mzee kuchukua namba ndo tayari kashamla?,vp kama ana jambo nae lingne,na vp huenda ni mtoto wa ndugu yake walipotezana mda so kaamua achukue namba ya mzazi wa huyo binti?(watoto wengi wanajua namba za wazazi wao)

mimi walichokua wanakizungumza nimekisikia maana nilikua karibu
 
Back
Top Bottom