Tasmini baada kuanza kwa mifumo ya usajili kwa alama za vidole

Konseli Mkuu Andrew

JF-Expert Member
May 10, 2013
740
855
Salaam Wakuu.
Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza:

1. Je mfumo huu mpya umeweza kudhibiti uhalifu wa kimtandao?
kama bado je wakati wanafanya tasmini walikosea? na kama hawakukosea wapi panaleta changamoto? maana binafsi naona uhalifu bado unaendelea japo sina takwimu sahii.

"Ile pesa tuma kwenye namba hii nipo kwa wakala hapa" jumbe kama hizi bado zipo na watu wanaendelea kutapeliwa kila inapoitwa siku.

MAONI BINAFSI.
Napendekeza watu binafsi wapewe leseni za kuendesha uchunguzi juu ya uhalifu wa kimitandao ,hii italisaidia jeshi la polisi kupunguza majukumu na kuboresha ufanisi,Jeshi limekuwa na mchango mkubwa kwa wananchi
 
Back
Top Bottom