Mi nimekupendaWanaume mnahangaika, siku hizi wadada tunapenda mwanaume awe anajielewa kabla ya kufika huko maana tukikimbilia kuvuana nguo na kusifiana kwa bed tutaishia kuchakaa na kuwa masingle mom tu. Ila mwenye future unakua mke mwenye malengo mazuri.
Naomba nikuoe pleezee unakitu nimekigundua cha ziada njoo tuunganishe dotsWanaume mnahangaika, siku hizi wadada tunapenda mwanaume awe anajielewa kabla ya kufika huko maana tukikimbilia kuvuana nguo na kusifiana kwa bed tutaishia kuchakaa na kuwa masingle mom tu. Ila mwenye future unakua mke mwenye malengo mazuri.
Hahahahahahaduh hii hatare.....lakin ni vizuri kila mtu akaleta mrejesho wake baada ya kutumia mana mimi demu anarud home ucku akiwa amechoka so nakosa muda wa kumpiga miti vizuri...sasa itabd nikishakula hv niwe namtomb..asubuhi
Kawaida samaki wa nyavu hukaa masaa mengi so anapoa yaani madini yanakuwa mepesi, but then samaki wa wavu wengi ni dhaifu, mshipi lazima apambane kula ndoano na ikishika koromeo jua kaliwa. Bamia ina mbegu ambazo ni very powerful pia ina madini chuma kibao, mafuta ya mahidi yanatokana na kiini tu na protein yake senene anasubiri. Hoho jike lina madini mengi mno muhimu, so sio uchawiMkuu, hii ni kwa kisayansi ama kwa kienyeji zaidi?
Maana unaposema Tasi lazima amevuliwa kwa mshipi, najikuta nikijiuliza: idadi kubwa ya samaki huvuliwa kwa nyavu...hilo tu kumpata aliyevuliwa kwa mshipi na ndoano ni shughuli pevu!
Je katika hilo kisayansi tasi aliyevuliwa kwa mshipi ana lipi muhimu zaidi kuliko yule tasi aliyevuliwa kwa nyavu???
Sent using Jamii Forums mobile app