Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,923
- 6,171
Naunga mkono hoja, wajita ni wanafiki balaa.Mbona musoma iko chini ya CCM
Chadema waliangukia pua mbunge wake ni Vedastus Mathayo
Mm nawakubali Tarime musoma kuna wajita ni wanafiki sana hawa watu na ndiyo wengi pale
Kule tarime ni kurya people never give up
KUTI BUKIGI.