cocochanelWana jamvi amani iwe kwenu. Hali ya CCM wilayani Tarime inazidi kudhoofu baada ya wananchi kushuhudia jinsi CCM inavyo wakumbatia wala rushwa wana Tarime hasa kina mama wameamua kukihama CCM na kujiunga na chama bora barani Afrika CHADEMA, tizameni picha zote hapa chini
![]()
![]()
![]()
Wana jamvi amani iwe kwenu. Hali ya CCM wilayani Tarime inazidi kudhoofu baada ya wananchi kushuhudia jinsi CCM inavyo wakumbatia wala rushwa wana Tarime hasa kina mama wameamua kukihama CCM na kujiunga na chama bora barani Afrika CHADEMA, tizameni picha zote hapa chini
![]()
![]()
![]()
Hizo kelele zenu tumesha zizowea ni sawa na mapopo tuLkn cha ajabu nafasi zote muhimu za Kiuongozi zimehifadhiwa kwa Wachaga tu, hakuna Mwana Tarime hata mmoja mwenye cheo cha maana chadema, Chacha Wangwe alijaribu wakamtundu Lisu!
Nimetahadharisha tu. Au ulitaka wote tuige mwandiko?Naona unataka niandike unachotaka ,
Halafu wote wanawake.Kumbe tarime kuna watu wachache
Umemeza viloba vingapi...Embu ni quote ukiona wananchi kama 25m wamerudisha kadi sio hao kumi na CCM inawamachama kwenye namba za mamilioni na mamilioni.
Nukuu wenzako msahangilie hao mbao hawapewi pesa za dezo huku wamejaa uvivu.. wapo kama vile waliishi yale maisha ya wasanii waliokuwa wana.. ili waishi kama vile wametumia akili na maarifa kusaka noti wanazotanulia.

Mkuu ukianza kuona kina mama ambao kimsingi ndio walikuwa mtaji mkubwa wa Ccm wanaamua kuikimbia hiyo Ccm ujue safari ya kuwafuata kina UPC,KANU imewadiaMoto wa Tarime umesambaa nchi nzima , wananchi hawawezi kushiba Bombadier mapanga .
Huna ulichokiandika na hii inaonyesha kuwa wewe ni mchepuko wa OOOOEmbu ni quote ukiona wananchi kama 25m wamerudisha kadi sio hao kumi na CCM inawamachama kwenye namba za mamilioni na mamilioni.
Nukuu wenzako msahangilie hao mbao hawapewi pesa za dezo huku wamejaa uvivu.. wapo kama vile waliishi yale maisha ya wasanii waliokuwa wana.. ili waishi kama vile wametumia akili na maarifa kusaka noti wanazotanulia.