Tarime Wanaandaa Maandamano

Tarime Wanaandaa Maandamano

WEWE kweli unaijua Tarime?? after all hakuna wilaya inayoitwa Buhemba: Hiyo Geography yako nafikiri ni ya mwaka 2025 ambayo haijafika! Kuuliza siyo ujinga; jifunze kujifunza kupitia kuuliza!
Duuh! Hivi mitambo ya analojia bado haijazimwa kwako??

Huu ni uchochezi wa Chadema kutaka Nchi isitawalike kama walivyosema awali, mimi nafikiri mganga wao kawadanganya sana kwani kila kukicha wanahamasisha maandamano na madhara yake Watanzania wasio kuwa na hatia wanakufa. Tarime na Buhemba ni Wilaya mbili tofauti na zipo mbali mbali, je mtoa maada anatuhadaa yeye akiwa Dar sisi tuumie huku wao wanagawana pesa?. Wakurya huwa hatudanganyiki na ndo maana tukiamua kufanya kitu tunatenda kweli bila kuogopa. Acheni uchuro wenu wa kutuchonganisha tuanzekupigana tena.
 
...WEWE ni...Mbunge wa lumumba ..au .ni Mbunge wa wanainchi......

.Chagua moja TUKUELEWE!!!!

sasa mtajua maana ya ubunge..kwenda kuwakilisha tumbo lako au kuwakilisha walio kuajiri....

Kwa sasa wabunge wa Magamba wenye mlengo wa Lumumba ..matumbo joto!!!!!

VIJANA WAMECHACHAMAAAAA CHA!!!

Cha Cha Chaa ile Ki-Bananga Style.


Lazima walione Vumbi.

Bhita ni Bhita Muraa
 
Habari nilizozipata hivi punde toka Tarime mjini ni kwamba, kuna ujumbe wa SMS unaosambazwa kuwahimiza wananchi kuamka na kuanza ukombozi. Wamepanga maandamano Alhamisi inayokuja na Ujumbe niliotumiwa unasomeka hivi
kwa nini wanasema wakachimbe kule bagamoyo (kwa kikwete) na si mtwara (kwa mkapa ambaye alisaini hiyo mikataba)? bange zinamadhara kwelikweli.
 
Huu ni uchochezi wa Chadema kutaka Nchi isitawalike kama walivyosema awali, mimi nafikiri mganga wao kawadanganya sana kwani kila kukicha wanahamasisha maandamano na madhara yake Watanzania wasio kuwa na hatia wanakufa. Tarime na Buhemba ni Wilaya mbili tofauti na zipo mbali mbali, je mtoa maada anatuhadaa yeye akiwa Dar sisi tuumie huku wao wanagawana pesa?. Wakurya huwa hatudanganyiki na ndo maana tukiamua kufanya kitu tunatenda kweli bila kuogopa. Acheni uchuro wenu wa kutuchonganisha tuanzekupigana tena.
Unajipachika jina la kikurya kumbe mrundi. Unaijua Tarime wewe? Kuna Buhemba ya Tarime kama km 2 tu kutoka Rarime mjini..
 
sawa kabisa kama serikali itaruhusu upuuzi huu wa kila watu kudai mali zao. Hakuna cha kushangaa hapa. Tena watu wa Mara wadai makao makuu ya TANAPA yahamishwe yawe Musoma au Serengeti maana kila mwenye rasilimali haoni ambavyo anaweza kufaidi mpaka ajengewe hapo kwake!! We are setting a very risky precedence!
 
Haya ndo matokeo ya mikataba ya kijinga (bogus treaty) kama ile ya mangungo wa msovero na wajerumani. Viongozi wetu wanatuingiza mkenge na mikataba mibovu. Ngoja umma uchukue hatua.
 
WEWE kweli unaijua Tarime?? after all hakuna wilaya inayoitwa Buhemba: Hiyo Geography yako nafikiri ni ya mwaka 2025 ambayo haijafika! Kuuliza siyo ujinga; jifunze kujifunza kupitia kuuliza!
Duuh! Hivi mitambo ya analojia bado haijazimwa kwako??

bora umemsahihisha sidhani kama huyo ni mtarime kwanza tata mura ungebadilisha najina kabisa ndugu. Buhemba si wilaya na mkoa wa Mara buhemba iko karibia kila wilaya yaani kiaribia kila wilaya kina sehemu inaitwa Buhema Bunda Musoma na Tarime pale karibia na Tarime TTC muwe mnarudi kusalimia hata kwenu
 
Last edited by a moderator:
Ongea kiswahili hakuna ulazima kuongea English usiyoweza,nenda hata tution
Loosale hapo kwenye red, amini usiamini naongea kiswahili vizuri tu hila kuandika ni tabu sio mbwembwe kaka it is just a psycholgy thing unajua wengine hatujaandikia kiswahili kabisa tangia vidudu, hivyo niandikavyo ni product ya maneno kuja in two languages kichwani.
 
Buhemba haiko Tarime Iko Musoma:Lakini yote kwa yote kama jambo hilo lipo safi sana,na Geita waandae Maandamano Kudai dhahabu yao.Itakuwa Tamu kwelikweli yani kila kona itakuwa patashika mpaka wadhulumati wakimbie wenyewe.

Hata Tarime kijiji/eneola buhemba lipo.
 
tumeongea weee humu kwenye mitandao, kwenye mikutano, midahaloni na vijiweni ...mafisadi wameuchuna tu.
Mheshimiwa rais alisema atapitia mikabata yote na kuvunja ile ambayo haina tija kwa taifa lakini mpaka sasa kauchuna tu.
Na zaidi ndio kwanza wanasaini mikaba mipya bila kushirikisha wananchi
 
Huu ni uchochezi wa Chadema kutaka Nchi isitawalike kama walivyosema awali, mimi nafikiri mganga wao kawadanganya sana kwani kila kukicha wanahamasisha maandamano na madhara yake Watanzania wasio kuwa na hatia wanakufa.

Tarime na Buhemba ni Wilaya mbili tofauti na zipo mbali mbali, je mtoa maada anatuhadaa yeye akiwa Dar sisi tuumie huku wao wanagawana pesa?.

Wakurya huwa hatudanganyiki na ndo maana tukiamua kufanya kitu tunatenda kweli bila kuogopa. Acheni uchuro wenu wa kutuchonganisha tuanzekupigana tena.

........


Mkuu umewahi ishi Tarime kweli, kwani magereza hapo Tarime ni wapi kama sio Buhemba au unaongelea Buhemba ya Musoma?
 
sawa kabisa kama serikali itaruhusu upuuzi huu wa kila watu kudai mali zao. Hakuna cha kushangaa hapa. Tena watu wa Mara wadai makao makuu ya TANAPA yahamishwe yawe Musoma au Serengeti maana kila mwenye rasilimali haoni ambavyo anaweza kufaidi mpaka ajengewe hapo kwake!! We are setting a very risky precedence![/QUOTE

Very risky precedence ilishajengwa na serikali kwa kutowashirikisha wananchi katika miradi hasa inayohusu raslimali nyeti za taifa na kusaini mikataba inayofaidisha mafisadi na wawekezaji, halafu kulimbikiza ka share ketu ka 5% kule Darisalama na kuwaacha wananchi wanaozungukwa na hizo raslimali wakifa umaskini

Kinachoendelea sasa mkuu ni matokeo tu ya hiyo risk iliyochukuliwa na viongozi wa serikali bila kufanya uchambuzi yakinifu. Kama mfumo uliopo sasa wa madini na raslimali ni mzuri, kwa nini watanzania wa vijijini tulio wengi hatuishi kama 3rd Gold producers in Africa? dhahabu imekwenda wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom