Maandamano ya CHADEMA Mara

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,185
79,367
heheheh nadhani Polisi watatafuta pa kutokea kama wakileta zile za Arusha maana nina uhakika tifu la kina Mura si mchezo ni patachimbika iwe Mara au Tarime! Kidole na jicho vijakazi wa CCM (polisi)....


12th January 11
Chadema Mara yaitisha maandamano Jumamosi

George Marato

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mara, kimeitisha maandamano makubwa utakaohusisha mkoa mzima kupinga kile walichokiita vitendo vya unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za raia vilivyofanywa na Jeshi la Polisi mjini Arusha.

Kwa mujibu wa Chadema Mkoa wa Mara, maandamano hayo yatalenga kupeleka ujumbe kwa taifa na dunia kulaani vikali hatua ya jeshi hilo kutumia nguvu kubwa, ikiwamo risasi za moto na mabomu ya machozi kuzima maandamano yaliotishwa na chama hicho hivi karibuni mjini humo.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara, Nyanza Sibitali, aliliambia Nipashe mjini hapa kuwa maandamano hayo yatafanyika Jumamosi wiki hii yatakayohusisha majimbo saba ya uchaguzi ya mkoa wa Mara na kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo kupeleka ujumbe huo.

Alisema Mkuu wa Mkoa ndiye anayetarajia kupokea maandamano hayo kisha kupokea ujumbe huo ingawa alisema bado hawajampata mkuu huyo wa mkoa kumweleza uamuzi huo.



NIPASHE: http://www.ippmedia.com/frontend/functions/print_article.php?l=25011
 
Huko hakutafaa kwa patashika litakalotokea endapo Polisi watajaribu kuwazuia wakina Muraa
kuandamana.Geza kwani kunafununu za upande huo kuwa na maswala hayo??Labda wazuiwe
kwa vifaru na jeshi tuu ndio watafanikiwa.Itakuwa kihama.!!!:Cry:
 
Mura wakigoma spati picha! maana bandeji na nyuzi nyingi za kushona majeraha ya mapanga zitahitajika.
 
Wow, So Mara people don't value their lives?! Oh, never mind , I forgot they always mutilate(circumcise) girls, beat to death their wives and girl friends.
 
Kule ni balaa, zikianza kupigwa police hawawezi ingia ndo maana wajeshi ndo huwa wanapambana nao!
 
Pale watoto wote nimesikia ama anazaliwa tayari akiwa na UTEPE WA FFU lakini sana sana wengi huwa wanazaliwa tu puu na kuangalia UNAKUTA NI JWTZ Material bila ubishi wowote ule.

Hivyo polisi wakianzisha tu pale patakua MITHILI YA MAPIGANO YA MILIMA TORABORA isioisha na wala ubishi juu ya mshindi haimizi sana watu kicha. Mwema vipi TAARIFA ZA INTELIJENSIA nako kule kwa akina Mura???
 
Mimi mdau niko Mara siyajui haya kwa nini? lete source vinginevyo hii ni feki!
Mwongo mkubwa wewe hauko Mara, Mara hawakai watu waoga kama wewe... Source imeandikwa hapo George Marato wa IPP media sa unataka source gani tena? Vita ni Vita Muraaaaaa. Go Chadema Go hadi Mkwere aikimbie nchi akajisalimishe kea Ocampo
 
Back
Top Bottom