Tarimba Abass Tarimba...........

Tarimba Abass Tarimba...........

aliteuliwa lini?
mwaka gani?
na rais gani?

Nachokumbuka ni kwamba Tarimba Abbas Tarimba aliteuliwa kwa mara ya kwanza na rais mstaafu mzee Alli Hassan Mwinyi kwenye nafasi hiyo, toka kipindi hicho mpaka leo sijashuhudia mabadiliko yoyote katika nafasi yake.
 
na mi najua ni Mwinyi ndo kamteua
ukitajwa mwaka hapa watu watashangaa
 
niliwahi kusoma kwamba mahali Tarimba ni miongoni mwa matajiri. ila sijui kama ni kweli
 
Jee ni mwenyekiti wa bodi wa kudumu?maaana tangu namfahamu yupo hapo hapo tuuu.Halafu lile shirika wanakula kiulaini sidhani hata kamati za bunge,CAG zimewahi tembelea ofisi zile.Ni sawa na Managing director wa SIDO miaka nenda rudi ni Laizer
 
Mimi tangu nipo sekondari huyo mtu namsikia ndani ya shirika hili. nafikiri ni kipindi cha kwanza cha Urais wa Mzee Mwinyi.
 
Mimi tangu nipo sekondari huyo mtu namsikia ndani ya shirika hili. nafikiri ni kipindi cha kwanza cha Urais wa Mzee Mwinyi.

aliteuliwa na Mwinyi but hadi leo yupo
mpaka kaenda na kusoma chuo.cheo ni mali yake binafsi
 
Kweli bongo mtelemko. Ni kweli hili shirika limekuwa mali yake binafsi.
 
Jee ni mwenyekiti wa bodi wa kudumu?maaana tangu namfahamu yupo hapo hapo tuuu.Halafu lile shirika wanakula kiulaini sidhani hata kamati za bunge,CAG zimewahi tembelea ofisi zile.Ni sawa na Managing director wa SIDO miaka nenda rudi ni Laizer

Every mp (including Chadema mp's) has a price
 
Ni tarimba huyu nayemfahamu mimi au ni mwingine tofauti na huyu wa mkwajuni na manyanya kwa ujumla

tanzania.jpg

Ni huyo huyo, hakuna mwingine.
 
... dah wazee mnachokonoa!! the boss vp ... amekufanya nn jamaa?? k'ndoni + ilala + tmk = triangle ya hatari dar! jamaa yuko very well connected na ni backbencher player wa ukweli! ... hao ni "watoto wa mujini" mpaka wana zeeka na kuwa "wazee wa mujini" sasa hv!
 
Nachokumbuka ni kwamba Tarimba Abbas Tarimba aliteuliwa kwa mara ya kwanza na rais mstaafu mzee Alli Hassan Mwinyi kwenye nafasi hiyo, toka kipindi hicho mpaka leo sijashuhudia mabadiliko yoyote katika nafasi yake.

Duh...,!!!!! Kateuliwa na mzee ruksa? mbona ni kitambo sana?
 
+20 yrs kwenye same position,nimeamini hii nchi ina wenyewe
 
Jee ni mwenyekiti wa bodi wa kudumu?maaana tangu namfahamu yupo hapo hapo tuuu.Halafu lile shirika wanakula kiulaini sidhani hata kamati za bunge,CAG zimewahi tembelea ofisi zile.Ni sawa na Managing director wa SIDO miaka nenda rudi ni Laizer

kweli aisee laizer nae ni problem,toka tuko shule director ni yeye tu pale,viwanda vyenyewe viko wapi hasa?
 
Renegade sasa tumemuona uyu shombe baby
 
Last edited by a moderator:
Aisee kumbe sasa najua kuwa Jambo Forum inatumika vibaya kuwachafua watu ambao kwa hakika wanajitoa kuitumikia nchi kwa uaminifu. Na pengine THE BOSS analake jambo.
Tarimba alianza kufanya kazi Bahati Nasibu, na shirika hilo lilivunjwa rasmi tarehe 30 Juni, 2003. Yeye na wenzake wote wakawa wameachishwa kazi.
Wakati huo ikaanzishwa Gaming Board of Tanzania, 1, Julai, 2003. Akapata ajira ya muda pale hadi March 2004 alipoteuliwa na Rais Mkapa. Ajira yake kwa mujibu wa sheria ni ya mkataba wa miaka mitano. Ilipomalizika na kutathminiwa na kuonekana kufaa, akapewa ajira nyingine. Kwa ushahidi huu, jamaa na perform na ndiyo maana yupo.
Yeye si Mwenyekiti, ni Mkurugenzi Mkuu, he is good in gaming matters.
Gaming Board imepata mafanikio makubwa chini yake. Ni taasisi ya kwanza kulipa serikalini mgao wa Serikali kabla hata ya sheria ya kuchangia Bajeti ya Serikali kupitishwa.
Gaming Board inakaguliwa na CAG na kwa miaka 10 tangu ianzishwe imekuwa ikipata hati safi. Tarimba amekuwa Gaming Board kwa miaka 10 na si miaka 20.
Katika Bunge na Bajeti, Taasisi hii ilisifiwa Bungeni na Kamati ya Bunge ya Uchumi na Biashara kwa utendaji wake.
Kama tunaweza kupata watu waaminifu namna hii shida yetu ipo wapi? The Boss lazima utakuwa na shida binafsi na huyu Bwana.
We need more Tarimbas like him!! Keep it up
 
Back
Top Bottom