Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Kama namuona Gwajima anavyochekelea hapo.Safi sana
Ponjoro Gwajima alikwambia nn😂😂Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu.
Aendelee kucheza kamari tu sasa na kuuza ngada.Ponjoro sasa itabidi erejea kitaa kusugua benchi na kupauka, anarejea rasmi kutafuna skanka na mirungi mpaka achanganyikiwe.
Ukimgusa Gwajima ujue hujipendiKama namuona Gwajima anavyochekelea hapo.
Dah,Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu.