Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
.......Usikonde mwaya mtoto atakapokuwa tayari atatoka tu, vile vile nasikia uzazi wa kwanza mara nyingi inakuwa overdue.........mie mwenyewe nimepitiliza siku 5 sasa, Dr kaniambia anifanyie c-section nimekataa, induction na epidural juu yake nimegoma na hivi uzazi wa kwanza ndio kabisa naogopa kila kitu.
Muhimu fanya sana mazoezi, tembea sana na jishughulishe na vikazi vya hapo nyumbani na kama unaweza fanya sex kwa sana tu Dr kaniambia huwa inasaidia......lakini hii mie imeshinda maana tumbo hilo na najionea tabu tu.
nyie vipi leo...mwenzeni da sophy ana matatizo....hamtoi tamko lolote....mnategemea nini
Da Sophy halo haloooo mume wa mtu huyooo unalo bibi.........ndo ushatengenezwa na mwenye mume (Ulikuwa wamwita msoni lol) haya hiyo itakuwa mimbayo ya miezi kumi na nne na bado utajifungua salama lol.......... kama nakuona unavyohaha ...........mume wa mtu sumu bibie,
Ila jipe moyo
hii kaibandika nani? najua sio mj1.
Jambo ambalo silipendi ni jinsi madaktari wa kiume wanavyowapima mimba wake zetu!! mi niligoma kabsaa yaani my wife wangu apimwe kwa kunanihii... Da Sophy na wewe walikupima hivyo hivyo kwa kuingiza mkono? hivi hakuna jinsi nyingine?
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
hii kaibandika nani? najua sio mj1.
pole dadangu... ila kumbuka umesi wa wahenda === "MTOTO MTEMBEZI, ATAKULA MIGUU YAKE" unalo hilo hadi liwe tayari, ntaleta diapers za kutosha zako na za mtotoTarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
MJ1... orait, orraiitttt!!!:doh:Da Sophy halo haloooo mume wa mtu huyooo unalo bibi.........ndo ushatengenezwa na mwenye mume (Ulikuwa wamwita msoni lol) haya hiyo itakuwa mimbayo ya miezi kumi na nne na bado utajifungua salama lol.......... kama nakuona unavyohaha ...........mume wa mtu sumu bibie,
Ila jipe moyo
pole dadangu... ila kumbuka umesi wa wahenda === "MTOTO MTEMBEZI, ATAKULA MIGUU YAKE" unalo hilo hadi liwe tayari, ntaleta diapers za kutosha zako na za mtoto
Nikuletee nini kingine?
MJ1... orait, orraiitttt!!!:doh:
Easy sweetheart!!
i will send you nice chocolate and a very sweet bra... rait?Certainly.........someone hijacked my password................. Invincible naomba mwongozo.:A S angry:
Am I too allowed to agiza pampers? Or chocolate will do??
We naye,,,,,,,,,,,,, do you think I need one?? mwone vilei will send you nice chocolate and a very sweet bra... rait?
You did it without protection, oooh!nataniaTarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
pole dadangu... ila kumbuka umesi wa wahenda === "MTOTO MTEMBEZI, ATAKULA MIGUU YAKE" unalo hilo hadi liwe tayari, ntaleta diapers za kutosha zako na za mtoto
Nikuletee nini kingine?